Hebu tukumbuke miziki na bendi za zamani

Hebu tukumbuke miziki na bendi za zamani

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
545
Reaction score
1,179
Wadau hebu huu uzi tukumbushane bendi na nyimbo za zamani
mimi.naanza na.Ngarula karubandika usimchezee chatu.kata.maji ukweni hizi maquise de zaire

Mesenja kaleta balaa hii bima lee
wifi.zangu.hii watu.njatanjta washirika stars
neema
Christina moshi
Ayub kipipa
Kata ya maji ukweni oss hao
 
Back
Top Bottom