Wimbo gani unaoupenda sana lakini ndani yake kuna msitati unaokupa ukakasi?

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
2,954
2,000
Umuofia kwenu,

Wakuu nadhani hali kama hii hutokea. Unaweza ukakuta wimbo unaupenda sana sema ndani ya mashairi yake kuna msitari mmoja tu huwa unakuweka "off".

Binafsi wimbo as Dogo janja-Ngarenaro naupenda sana ila tu akiimba, "unanipa mpaka mambo ya uani", huwa naboreka sitaki niendelee tena kuusikiliza! Vipi wengine hali hii huwa inawatokea? Taja wimbo na sehemu inayokuweka off mood!
 

Mkongwee

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
227
1,000
nautafuta wimbo mmoja hivi
maneno yake ni
“mdundiko ukipita unakatikia ndani ....aaaeeeee ulidharau nazii wakati eeembe ni tunda la msimuu”
ulikua unapigwa saaana enzi za TVT
jina limentokaa
mwenye nao tafadhar
 

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,492
2,000
Shawty you don't have to take your panties off
Just move 'em to the side
 

Okwanyo58

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,697
2,000
'Baki na hamu zako'< dume suruali
" Nyege nyegezi"
"Niko tight sina rambo"
"Ukitoka bafuni nitengee ya moto moto"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom