Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Leo ktk pita pita zangu WhatsApp status video nikamwona cousin wangu kaweka wimbo huu wa wanamziki wa Gospel wanaitwa "Makoma" Doh ulinikosha sana naupendaje alafu hauchuji unaitwa Butu na Moyi...
10 Reactions
71 Replies
11K Views
Mtunzi Nyemo Chilongani Sehemu ya 01. Nilikuwa chumbani kwangu, kichwa changu kilikuwa na mawazo tele. Akili yangu ilichanganyikiwa, kulikuwa na mambo mengi ambayo yalinichanganya kipindi...
14 Reactions
381 Replies
55K Views
RIWAYA; CHELEWA UZIKWE! NA; BAHATI K MWAMBA SIMU; 0758573660/0624155629. DAR ES SALAAM…. Kelele za muito wa simu zilimuamsha katikati ya usiku mnene. Alijivuta kivivu huku akijaribu...
8 Reactions
59 Replies
11K Views
Mkongwe kwenye kazi za kimafia na muuaji wa kukodiwa asie na mipaka john wick,anastaafu hiyo kazi baada ya kuoa na kutulia na mkewe. Baada ya mkewe kuugua ghafla na kufa, John anabaki kwenye...
17 Reactions
72 Replies
10K Views
. By Sangu Joseph . Unajua ukishakuwa Msanii Mkubwa kuna hatua 2 ambazo utajikuta unazipitia unategemea na hatua uliyokuwa nayo Kwa wakati huo na wewe unazihandle vipi. Hatua ya 1 ni KUSHAMBULIA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Wanabodi, Kuna Videos na Movies ambazo mara nyingi sana ukipanda gari la kusafiri kwenda Mkoa lazima ukutane nazo ndani ya basi hasa kwa hizi Luxury Bus. Kuna hizi; > Majuto, JB na Dokii...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
. By Sangu Joseph . Kwenye Uchambuzi wangu nimeeleza huenda Alikiba akashushwa kimuziki na Konde Boy Harmonize, Kwa sababu Tu wanaomsupport Kiba ndiyo haohao wanaomsapoti Konde Boy. Kitakachokuja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ya saa hizi brothers and sisters, ni matumaini ya mtima wangu kuwa nyote ni wa buheri wa afya... Ama baada ya salamu, wapendwa nina shida yangu.... Huwa napendelea sana kuangalia series...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna wimbo wa zaman kdogo bongo flava na baadhi ya maneno yanaimbwa hvi: "Ndoto haruf mbaya imetawala mwilini, napita mito na mabonde,, ni safari ndefu inayo chukua miaka mingi... Nisaidiem...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Lina uzito wa tani, jiwe jeusi la chato Jiwe jeusi si dini, jiwe halina mvuto Sasa nikusimulieni, limepataje uzito Hata mkifika mia, hamlibebi kitoto Washi walilipinga, kutaka kulisimika Ya rangi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nasikiliza ngoma zake kadhaa hapa, nimekumbuka miaka kadhaa nyuma, huyu jamaa alikuwa fundi mnoo, tungo zake bora kabisa, anaimba, anapiga vifaa(ngoma) na ku-rap juu. Kwangu mimi alikuwa ni...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni vifaru vilivyokuwa maarufu wakati wa WW2. Ni M4 Sherman cha marekani na PanzerKampf wagen au kwa kifupi ni Tiger Tank. Hivi Tiger Tanks vya kijerumani ndio vilikuwa vifaru bora na...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Video inaanza kuna mwanamke amevaa mavazi ya chui anatembea kwa miguu minne kama chui halafu anakutana na wanaume watatu nakumbuka alifanana kama jason dalulo ila nimetafuta katika nyimbo zake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Siku moja asubh na mapema! Nikiwa naenda kwenye biashara yangu! Nilikutana na mzee mmoja akiwa na wazee wengine akaniita akaniambia Kijana njoo: inaonekana una Mungu sana maana hata kutembea kwako...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pongezi ya kwanza iende kwa mwandishi wa vitabu Stephen King. Hii muvi imetolewa kwenye kitabu cha bwana Stephen King kinachoitwa Rita Hyworth and Shawshank. Waigizaji waliopo ni pamoja na Tim...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ilikuwa ni miaka 12 iliyopita siku ya tarehe 28/04/2008 katika shule ya KANTALAMBA BOYS SEKONDARI iliyoko katika manispaa ya SUMBAWANGA, siku ilianza kama kawaida kwa wale waliosoma shule za...
6 Reactions
58 Replies
7K Views
Wadau habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Pasi na kupoteza muda nataka ku share Mambo fulani fulani ambayo binafsi huwa nayazingatia ninapotazama filamu yeyote ile. Ipo hivi, wengi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya sifa nyingi nikaamua kulipia wasafi ili nione nini kipya Dah! Target yangu ilikua nianze na kipindi cha BIG SUNDAY LIVE.. nimesikitishwa sana kwa tv chanel inayosifiwa sana na vijana...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Habarini wakuu, nitakuwa hapa kuwaletea simulizi hii "Niacheni nikufuru" mpaka pale itakapoisha. Yote itaishia hapahapa Jukwaani. Kila siku nitakuwa naachia kipande kimoja kulingana na maelekezo...
4 Reactions
188 Replies
24K Views
Back
Top Bottom