Special song to Malia Obama

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilikuwa sina mpango wa kufungua hii kitu, lakini baada ya kusoma comments zako nikasema ngoja nami niifungue labda nitaongeza life span lol! Hahahahaha 😂

Naona hata ‘para’ la jela halijaota nywele bado, lol
Mungu amlaani aliyesababisha ukafungwa, vituko hivi nilivimiss sana.
Nimecheka sana alfajir hii, thanks.
 
am safaling to see you 🤣 🤣 🤣 bando langu halijaenda bure.......
Don unaachia lini albamu?,,
🤣🤣
Godfather - The Don by Independent Artist - Fine Art Print.
 
Maumivu ya kichwa huanza taratibu., Ukirudi kwenye post za siasa unaziona nondo zile pale
 
Sikiwahi kufikiri nitapata mshindani kwa huyu binti mrembo wa Obama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom