Mimi ni Nkwita mateja na hii ndio pub yangu

nkwita

Member
Jun 18, 2020
51
56
Sisifii siffii na sipendi mm ni mkazi jiji DSM.

Hupenda kutoka mtoko Kama kawaida ya Sana ukiwa DSM. Nimetembea nimelala,nimezunguka miji hakuna pub kama hii. Kiukweli DJ ndio ananisuuza zaidi mengine kila mmj anamaamuz na mapendekezo yake

Nipo hapa DJ anapiga zilezile. Amepiga binti kiziwi, sasa unajua ametoka kucheza IPI, halafu aliyokuja kayo, duh. Baada ya bao la pili kushangilia unajua amecheza kibao ganii, mamaae dully sex bala a, Watu hoyoooo,kwa kuwa mm sishobokei Mpira nimeinjoi mziki, na pombe zangu nilikuwa nikiimba tu kariakooo, kariakooo, kariakooo


5N ndio pub yenye DJ nchini. Hajawahi kuniangusha. Labda hajui naomba ajue anajua kuchagua mipini


Mwisho nimegundua washabiki was Simba wanashangilia pasi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom