haya,tayar iyo imepenya leta maujanja mkuu.
turudi nyumbani kumenoga game nyingi kali
Okayy,hiyo attachment no 2 ni dls 2020?game mpya na zile ambazo tunaweza cheza online tupate watu wapya hapa wa kucheza nao
Rangi za pes hizoOkayy,hiyo attachment no 2 ni dls 2020?
Oooh nilijua ni dls20, ahsanteRangi za pes hizo
Unacheza hizi nawe..??Maujanja gani?
SanaaUnacheza hizi nawe..??
Oooh nilijua ni dls20, ahsante
Huko kufunga 12 utafikiri mnacheza rede..😂
Duh! Mi nacheza dream 2019 nawafyatua vibaya..Sanaa
Mimi pia nacheza ya 2019 ya 2020 sijaipendaDuh! Mi nacheza dream 2019 nawafyatua vibaya..
Itakuwa ndo mrembo wa kwanza kukujua unacheza hilo gemu.. ningekuwa karibu ningekuwa nakufunga mpk unge... Utamalizia..😉Mimi pia nacheza ya 2019 ya 2020 sijaipenda