KIKI BILA KAZI NZURI NI ANGUKO LA MSANII
Tarehe 27 December 1999, rapa Sean "Puffy" Combs maarufu pia kama P. Diddy alikamatwa kwa tuhuma za kupiga risasi ndani ya NightClub. Pamoja nae...
Habar watanzania Leo Baada ya kuona Deal la Yanga na Azam ndio Nimegundua ni kwa kiasi Gan Moo anawaumiza wenye simba yao na Hakika huu ni utapel wa wazi wazi
Yanga imeuza Haki ya Matangazo kwa...
Muziki wa dance uliwahi kutamba kwenye miaka ya 1990 hadi 2000, baada ya hapo muziki wa kizazi kipya uliingilia kati japo miaka ya hivi karibuni muziki huu umeishiwa pumzi mpaka unajikuta...
Kwanza nianze kwa Kusema hivi. Sijamfahamu kijana huyu kwa muda mrefu.
Huenda nimesikia nyimbo zake nyingi ila sikujua kama ni yeye. Je! Ni lini ali breakthrough kwangu.., ni pale alipofanya...
Wakuu,
Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!
Gospel ya kwenye Bar ina upako very...
Wakuu msaada tafadhali.
Kuna movie iitwayo If looks could kill ya mwaka 1991. Mwenye nayo tafadhali. Nimejaribu kui google inapatikana trailer tu. Mhusika mkuu anaitwa Michael Corben. Ni...
Baada ya kukaa kimya kwa kitambo kidogo, yule MC anayefanya 'Hip hop isikilizike' amerudi tena na ngoma mpya ikiwa ni muendelezo wa ngoma pendwa zinazofahamika kama SINAGA SWAGGA.
YouTube link 👇👇👇
Nimasaa nane na dk kadhaa tangu king wa bongo flavor yake aachie chupalake jipya alilo mshirikisha Rudeboy kutoka west-Africa [emoji1184]. Ndani ya huu mda wa masaa nane una viewers 500K+...
Diamond alitutangazia album mwaka huu na juzi kati alikua south Africa kufanya finishing ya album leo ameshea picha kwenye page yake ya Instagram akiwa anaongea na mwanamuziki wa marekani swaelee...
RURION KENSHIN THE FINAL(2021) ni moja kati ya movie zangu bora kwa mwaka hii ni kisanga sana ni mkono mwanzo mwisho.
Jamaa anaitwa kenshin himura alikuwa ni samurai na muuaji na mwalimu wa...
Mpira wa miguu ni moja ya burudani kubwa sana ulimwenguni.
Mpira wa miguu ni ajira bora kabisa kwa vijana wenye vipaji vya kusakata kabimbumbu sawasawa.
Mfano mzuri ni nchi za Amerika kusini...
Hili suala linanikera sana hasa hasa Kipindi cha Asubuhi cha Magazeti kinachoongozwa na Maulid Kitenge na Zungu huwa nasikiliza hadi nakereka.
Mimi napendekeza wabadilike kwani sio wasikilizaji...
Hawa wasanii naona hawapo serious.
Diamond ametoa wombo wake wa dakika 2 haraka haraka ova alikua hajajiandaa wakati alikua kimya kwa zaidi ya miezi 6.
Huyu Alikiba nae Salute atleast audio...
Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri.
Hints;
1) Ndani kashirikishwa Juma nature.
2) Huo wimbo ni...
Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa...
NYEMO CHILONGANI
0718069269
Sehemu ya 01
Ndiyo ni mzuri!
Tena hasaaa!
Kwanza ni mweupe.
Ana mwili ulionyambulika.
Macho ya goroli, ya kurembua ambapo akiamua kukuangalia, basi tuseme umepata...
Well firstly nichukue nafasi huu kumpongeza diamondplatnumz kwanza kuwa nominated ni jambo kubwa saana @betawards inatazamwa saaana Duniani kitendo Cha ulimwengu kusikia tu jina la diamondplatnumz...
Habari za Leo wadau,
Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania.
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.