Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Leo ni #TBT, angusha mstari wowote kutoka kwa Albert Mangwea, Mstari ambao hadi leo unabaki kama kumbukumbu aliyoiacha CowBama.(r.i.p) Naanza Mimi, Ngoma inaitwa Msela humo ndani kuna Juma...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwema wakuu? Nisiwachoshe, niende kwenye kiini cha uzi. Hii movie ina nadharia ya comedy, nilipata kuiona katika moja ya channel DSTV. Lakini sikubahatika kuimalizia mpaka mwisho. Inaanza watu...
0 Reactions
4 Replies
952 Views
New video for tanzanians and all diamond platnumz fans
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamani naomba tusaidiane, kuna nyimbo za Gospel huwa nazitafuta na sizipati naomba kwa uzi huu ikiwezekana nifanikiwe. Mimi nawapa huu wa Malebo kama kuna yeyote anautaka ila mimi natafuta .. 1...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Kwako hayuko Kwangu hayuko Chuki ya nini kati...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : ZUBERI MARUMA CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI JOHN VERGAN kijana anayemiliki kampuni kubwa na mwenye mafanikio makubwa katika maisha...
1 Reactions
14 Replies
19K Views
Natafuta bingwa wa draft Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Dogo Huyu ni hatari anatengeneza midundo mizuri sana kizuri ni kwamba anatemgeneza na kuuza kwa bei rahisi. Msikikize hapa moja ya mdundo wake kabisa Link hii hapa:
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Namaanisha zile nyimbo maarufu na ambzo sio maarufu..ila tu hazina kick(mdundo) Zaidi ya sauti ya kawaida(vocal) na sauti ya umeme(ala/voice) ambayo haihusishi kick (pigo mtetemo) 1. Mr flavour...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Sina link ya YouTube video kwa hiyo nenda kai search USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Baada ya kusubiria muda mreefu takribani mwaka ni siku kadhaa hatimae July 9 Black widow imeachiwa rasmi. Kwa wanaotumia Disney plus wataipata kwa 30$ though sidhani kama Disney+ inapatika bongo...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Katika vitu visivielewi ni pamoja na uimbaji wa msanii huyu wa Marekani anayejiita Dj Khalid Kila nyimbo aliyomo utaambiwa ni wimbo wake kamshirikisha msanii furani Anachokiimba sasa...
10 Reactions
44 Replies
6K Views
Kizimbani Sura ya 1: Kukamatwa - Mazungumzo na Bibi Gurubaki - Kisha Bi Basitena Lazima pana mtu aliyekuwa anatembeza maneno ya urongo kuhusu Josefu K., kwani mwenyewe alijua hakufanya kosa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hili jambo sikuwa napenda sana kuwahadithia wadau. Lakini leo naona niwape kisa hiki kilichonipata miaka ya 2000s. Mimi nimekulia Sinza kivulini kwa miaka yangu yote na washkaji kibao ambao wengi...
25 Reactions
370 Replies
77K Views
Cha ajabu kwenye trending hayupo hata kumi bora
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Damn Nyimbo ya Diamondplatnumz ft Omarion African beauty [emoji91] Iseee ni nyimbo kali sana Unaweza kusahau shida zako zote za Duniani Mwana aliua sana utazani sio yeye aliyeimba #KAMATA [emoji3]
15 Reactions
40 Replies
4K Views
Mwak 2051 kinaibuka kiumbe hatari ambacho kinakaribia kumaliza binadamu wote. Wanatumwa watu kuja mwaka 2022 kuomba msaada wa kwenda mwaka 2051 kupambana na kiumbe hicho. Imenifurahisha, japo...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Napendaga kuangalia friday night live show inayorushwa na East Africa TV na East Africa Radio na host wa show ni Dullah Planet. Sasa kuna jamaa yake wanakuwaga wote kwenye show. Huyu jamaa nadhani...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Please follow me on Instagram account name mzee wembe comedian
1 Reactions
4 Replies
870 Views
Back
Top Bottom