Chinona
Member
- Jul 14, 2017
- 53
- 44
Nimasaa nane na dk kadhaa tangu king wa bongo flavor yake aachie chupalake jipya alilo mshirikisha Rudeboy kutoka west-Africa [emoji1184]. Ndani ya huu mda wa masaa nane una viewers 500K+ .....ukweli ni kwamba hii ni moja ya video bora kabisa tulizo wahi kuzishudia kutoka kwa wasanii wetu wa hapa +255 ....kwa sasa nasubiria ndani ya 24hr nione je kuna ka record kokote kana weza kuvunjwa na mzee wa yooòoòh