DIAMOND PLATNUMZ kwenye vita

Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
4,912
12,988
Well firstly nichukue nafasi huu kumpongeza diamondplatnumz kwanza kuwa nominated ni jambo kubwa saana @betawards inatazamwa saaana Duniani kitendo Cha ulimwengu kusikia tu jina la diamondplatnumz from Tanzania ni hatua kubwa saana na nadhani ndio Mana tumeona baadhi ya mastaa kuanza ku follow page yako siku ya Jana means Ina positive impact kwako direct kabisa.

Lakini hongera zaidi kwa kwa muonekano ambao ulitengeneza Jana kupitia vazi la kimasai I'm very much sure kwamba ulikuwa kivutio na jambo ambalo Kama msanii inakuongezea thamani kubwa.

Pia pongezi za mwisho now umevuka stage ya kushindanishwa hapa Tanzania kwa hatua ya kushindanishwa na wasanii wakubwa Kama @burnaboygram Wizkidayo kina davido hiyo Ina maana hizo ndio level stahiki kwako kwa Sasa

Back to the main point kuhusu tuzo ambayo kashinda @burnaboygram dhidi ya Wizkidayo diamondplatnumz na wengineo.

Kifupi ni kwamba sio diamondplatnumz hata davido na Wizkidayo wako kwenye mtihani huu mzito kwa sababu nyuma ya tuzo hizi anazoshinda @burnaboygram Kuna 70% ya mchango wa diddy ambaye kwa entertainment industry Duniani anaheshimika Sana na mbaya zaidi huyu jamaa ni mfanyabiashara.

Mnakumbuka mwaka 2016 mshindi wa @betawards alipokuwa ni jamaa anaitwa #BlackCoffee ambapo ulimwengu mzima tulishangaa ameshindaje mbele ya vigogo Kama #Diamond #Wizkid #AKA #yemialade basi Siri kubwa ni kwamba ushindi wake aliupata kutokana na ushawishi wa diddy ambaye ni Member mkubwa saana kwenye management ya @betawards

Na kifupi wakati huo @realblackcoffee alikuwa anafanya kazi na diddy wakati alipokuwa aanaandaa documentary yake inayoitwa "I can't stop won't stop"

Fikiria Kama diddy aliweza kushawishi mtu asiye na jina kubwa akashinda tuzo hizo atashindwa kutumia nguvu hiyo kufanya @burnaboygram ashinde wakati yeye kasimama Kama Main producer kwenye album ya "TWICE AS TALL"

Kifupi diddy anapambania biashara yake kwa sababu anapata faida direct kutoka kwenye kazi za @burnaboygram na ndio maana anampambania kuhakikisha ana dominate vizuri kabisa industry ya entertainment kwa Sasa na ndio Mana toka wameanza kufanya kazi hata Wizkidayo na davido wamekuwa hawashindi tuzo kubwa Kama yeye.na inasemekana diddy yupo tena studio na burnaboy kutengeneza album nyingine .
20210628_124405.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Well firstly nichukue nafasi huu kumpongeza diamondplatnumz kwanza kuwa nominated ni jambo kubwa saana @betawards inatazamwa saaana Duniani kitendo Cha ulimwengu kusikia tu jina la diamondplatnumz from Tanzania ni hatua kubwa saana na nadhani ndio Mana tumeona baadhi ya mastaa kuanza ku follow page yako siku ya Jana means Ina positive impact kwako direct kabisa.

Lakini hongera zaidi kwa kwa muonekano ambao ulitengeneza Jana kupitia vazi la kimasai I'm very much sure kwamba ulikuwa kivutio na jambo ambalo Kama msanii inakuongezea thamani kubwa.

Pia pongezi za mwisho now umevuka stage ya kushindanishwa hapa Tanzania kwa hatua ya kushindanishwa na wasanii wakubwa Kama @burnaboygram Wizkidayo kina davido hiyo Ina maana hizo ndio level stahiki kwako kwa Sasa

Back to the main point kuhusu tuzo ambayo kashinda @burnaboygram dhidi ya Wizkidayo diamondplatnumz na wengineo.

Kifupi ni kwamba sio diamondplatnumz hata davido na Wizkidayo wako kwenye mtihani huu mzito kwa sababu nyuma ya tuzo hizi anazoshinda @burnaboygram Kuna 70% ya mchango wa diddy ambaye kwa entertainment industry Duniani anaheshimika Sana na mbaya zaidi huyu jamaa ni mfanyabiashara.

Mnakumbuka mwaka 2016 mshindi wa @betawards alipokuwa ni jamaa anaitwa #BlackCoffee ambapo ulimwengu mzima tulishangaa ameshindaje mbele ya vigogo Kama #Diamond #Wizkid #AKA #yemialade basi Siri kubwa ni kwamba ushindi wake aliupata kutokana na ushawishi wa diddy ambaye ni Member mkubwa saana kwenye management ya @betawards

Na kifupi wakati huo @realblackcoffee alikuwa anafanya kazi na diddy wakati alipokuwa aanaandaa documentary yake inayoitwa "I can't stop won't stop"

Fikiria Kama diddy aliweza kushawishi mtu asiye na jina kubwa akashinda tuzo hizo atashindwa kutumia nguvu hiyo kufanya @burnaboygram ashinde wakati yeye kasimama Kama Main producer kwenye album ya "TWICE AS TALL"

Kifupi diddy anapambania biashara yake kwa sababu anapata faida direct kutoka kwenye kazi za @burnaboygram na ndio maana anampambania kuhakikisha ana dominate vizuri kabisa industry ya entertainment kwa Sasa na ndio Mana toka wameanza kufanya kazi hata Wizkidayo na davido wamekuwa hawashindi tuzo kubwa Kama yeye.na inasemekana diddy yupo tena studio na burnaboy kutengeneza album nyingine .View attachment 1833369

Kwanni didy hajashawishika kufanya kazi na DIAMIND tuanzie hapo.
 
content imeshiba
 
Umeandika maandishi mengi ila hakuna hoja ya msingi zaidi unataka kutuonesha kuwa Diamond alistahili zaidi kuliko burna boy with no relevance!
Onesha ni kiasi gani Diamond kamzidi vigezo Burnaboy na wizkid na sio kuongelea mafanikio ya burnaboy!
Mtu anaimba nyimbo za kuhusu jamii na bado zinakuwa hits sikiliza collateral damage, destiny mpaka imechezwa siku Biden anaapishwa USA...
Unataka ufananishe na mtu wa kukopi na paste kutoka huko huko Nigeria!
Wasanii wetu wapambane sana kushindana na western music na sio kukopi wanachofanya wao!
Miaka hii minne hamna msanii mkali Africa zaidi ya Burnaboy....HAYUPO
 
Bro embu ludia kusoma hapo utanielewa mbona nimesema kabisa kwamba burnaboy anadeserve hiyo tuzo ndo maana hata wizkid hakwenda kwenye event sabb alijua kabisa mshindi ni burnaboy kama amechukua grammy anashindwaje kuchukua BET ,na ushauri wangu ni kwamba diamond atafute connection kama anaukaribu na swizzbeat kwanini anashindwa kumpa jamaa shavu awe producer wake wa album inayofuata kuliko hawa wakina s2kizzy ambao wanacopy mabeat ya hitsong za Nigeria

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mondi anadhani unaweza shinda tu bila support ya mashabiki wa pande mbili .

Yaani unaweza shinda tu bila kufanya lobbying.

Unashindani na msaani ambaye executive producer wake Ni music mogul hapo USA halafu eti una matumaini ya kushinda .

Yaani ushinde tuzo kwa msaada watu Kama babu tale mzee wa "building and finance" .

Tushukuru tu ulienda na lile vazi la kimasai japo wamasai wenyewe watakuwa wamekumind halafu ukagongwa na baridi la kiyoyozi .

Jamaa ana hustle Sana Ila cycle yake Ni wachimbachumvi they ain't intelligent.

Au Ni kweli ndumba expiration imeanza au umerudisha penseli ya kiba

Badilika mzee watakusagi kunguni Hadi ujikute tandale .
 
Well firstly nichukue nafasi huu kumpongeza diamondplatnumz kwanza kuwa nominated ni jambo kubwa saana @betawards inatazamwa saaana Duniani kitendo Cha ulimwengu kusikia tu jina la diamondplatnumz from Tanzania ni hatua kubwa saana na nadhani ndio Mana tumeona baadhi ya mastaa kuanza ku follow page yako siku ya Jana means Ina positive impact kwako direct kabisa.

Lakini hongera zaidi kwa kwa muonekano ambao ulitengeneza Jana kupitia vazi la kimasai I'm very much sure kwamba ulikuwa kivutio na jambo ambalo Kama msanii inakuongezea thamani kubwa.

Pia pongezi za mwisho now umevuka stage ya kushindanishwa hapa Tanzania kwa hatua ya kushindanishwa na wasanii wakubwa Kama @burnaboygram Wizkidayo kina davido hiyo Ina maana hizo ndio level stahiki kwako kwa Sasa

Back to the main point kuhusu tuzo ambayo kashinda @burnaboygram dhidi ya Wizkidayo diamondplatnumz na wengineo.

Kifupi ni kwamba sio diamondplatnumz hata davido na Wizkidayo wako kwenye mtihani huu mzito kwa sababu nyuma ya tuzo hizi anazoshinda @burnaboygram Kuna 70% ya mchango wa diddy ambaye kwa entertainment industry Duniani anaheshimika Sana na mbaya zaidi huyu jamaa ni mfanyabiashara.

Mnakumbuka mwaka 2016 mshindi wa @betawards alipokuwa ni jamaa anaitwa #BlackCoffee ambapo ulimwengu mzima tulishangaa ameshindaje mbele ya vigogo Kama #Diamond #Wizkid #AKA #yemialade basi Siri kubwa ni kwamba ushindi wake aliupata kutokana na ushawishi wa diddy ambaye ni Member mkubwa saana kwenye management ya @betawards

Na kifupi wakati huo @realblackcoffee alikuwa anafanya kazi na diddy wakati alipokuwa aanaandaa documentary yake inayoitwa "I can't stop won't stop"

Fikiria Kama diddy aliweza kushawishi mtu asiye na jina kubwa akashinda tuzo hizo atashindwa kutumia nguvu hiyo kufanya @burnaboygram ashinde wakati yeye kasimama Kama Main producer kwenye album ya "TWICE AS TALL"

Kifupi diddy anapambania biashara yake kwa sababu anapata faida direct kutoka kwenye kazi za @burnaboygram na ndio maana anampambania kuhakikisha ana dominate vizuri kabisa industry ya entertainment kwa Sasa na ndio Mana toka wameanza kufanya kazi hata Wizkidayo na davido wamekuwa hawashindi tuzo kubwa Kama yeye.na inasemekana diddy yupo tena studio na burnaboy kutengeneza album nyingine .View attachment 1833369

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mmeanza
😂
 
Back
Top Bottom