Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nitumie nyimbo za singeli kwamba unafikiri ni safi sana, nimeshasikiliza wimbo wa singeli wiki jana, na ninataka kuiliza nyimbo nyingine.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Leo nimefanikiwa kununua Gitaa langu la kisasa kwa pesa yangu, nimefurahi sana! Nilianza kupiga Gitaa nikiwa darasa la tano shule ya msingi hadi leo nimeshamaliza chuo, nina familia...bado...
9 Reactions
56 Replies
17K Views
Kuna wimbo wa TOT wa kumuaga hayati Magufuli una kiitikio kinaimba, "Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamwe hatutamuona tena" Hayati mpendwa Magufuli Kipindi chake duniani Japo kilikua kifupi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna nyimbo moja inapigwa kwenye mahafali sanasana ya vyuo kuna sauti ya mwanadada inasikika akiimba everyday we wanna cerebrate ohoo.. nimegoogle sana mpaka lakin wap msaada anayeifahamu. Na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
USHINDI wa 4-1 waliopata Simba dhidi ya Mbeya City unawafanya klabu hiyo kuhitaji pointi nnetu ili wawe mabingwa wa Ligi Kuu Bara. Mabao ya Rally Bwalya, Luis Miquissone, John Bocco na Clatous...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine. Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari ya Jumapili? Ningependa kuwapa pongezi wale walipata chochote kwenye teuzi za mama na ambao hatujapata kazi iendelee yote maisha. Msaana naomba uniwekee SERIES ZAKO KALI ZA KIVITA...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimeichek hii movie director ameeitendea movie toka kampuni ya disney estella anazaliwa akiwa na nywele zenye rangi mbili yaani nyeusi na nyeupe miaka inasogea estella anakua anaanza shule ya...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Mfalme wa muziki wa Taarab nchini na kimataifa Mzee yusuf ameamua kurudi kwenye mziki wa taarab baada ya kupumzika kwa takribani miaka 3. Sasa ameachia nyimbo mpya kabisa ambayo mwimbaji ni Mke...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Hii ngoma ni fireee.... yaan moto wa kuotea mbali kabisa... alichofanya mboso humu ni mashiiineeee.....
2 Reactions
84 Replies
18K Views
Nimeusikiliza na kutazama kazi mpya ya kings Ndombolo Kazi, nzuri ila Kiba kazi zenu mnafanya fanya tu ilimradi. Hii ngoma ni ya kuchezeka pale ilitakiwa mvunjike na hivyo viuno ngoma ni ya...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Nilikuwaga nausikiaga kwenye redio sana kipindi cha nyuma. Muda wote huo mimi nilidhani unaitwa 'wuu-huu' kumbe unaitwa walk of life umeimbwa na kundi flani Dire Straight...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimemisi sana hii ngoma duh!! Mwenye nayo pls anisaidie niisikilize tena na tena
3 Reactions
5 Replies
1K Views
CV yangu Umri-28 Jinsia-Me Elimu-stashahada (diploma) Kazi-Mwajiliwa serikalini Dini- Mkristo Mwonekano- Mrefu, mweusi, mwembamba kiasi Awe na sifa hizi:- Umri - (24-27) hata 28 sio mbaya...
1 Reactions
2 Replies
843 Views
Nautafuta wimbo mmoja wa enzi hizo amabo una lyrics hizi "Waniwekea fitina ninyang'anywe gari langu, Fitina mbaya, wivu ni mbaya, acha fitina weee jirani we acha'.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko ndani ya club like Niko ndani ya club like, niko na chriss na mose fedha, nami na mabinti na.. DJ D-White anapiga retrack hakuna anayekaa, wote tunaruka niko club, mi na honey, tuna'dance...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za asubuhi guys.. Kuna huyu msanii almaarufu kama mirror nakumbuka miaka michache iliyopita kakimbiza sana na ngoma zake Kali na hata kwenye matamasha. Baadhi ya ngoma zake Kali na...
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Back
Top Bottom