fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 538
- 562
Hili suala linanikera sana hasa hasa Kipindi cha Asubuhi cha Magazeti kinachoongozwa na Maulid Kitenge na Zungu huwa nasikiliza hadi nakereka.
Mimi napendekeza wabadilike kwani sio wasikilizaji wote wanapenda kelele .
Mimi napendekeza wabadilike kwani sio wasikilizaji wote wanapenda kelele .