Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,505
- 14,793
Diamond alitutangazia album mwaka huu na juzi kati alikua south Africa kufanya finishing ya album leo ameshea picha kwenye page yake ya Instagram akiwa anaongea na mwanamuziki wa marekani swaelee na akatujuza juu ya ngoma yao ya pamoja
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app