Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,012
nimejiuliza kati ya hawa waigizaji weusi nani ni mkali zaidi sijapata jibu. we unaona nani mkali zaidi ya wenzake?
los-grandes-actores-negros-2-728.jpg

79d13424e3c885c266d3a4ea7d929321.jpg
 
Huyu Denzel sio producer kweli!!
 
Kila moja anaitendea nafasi yake vizuri kutokana na maudhui ya movie. Kwenye Ubabe Denzeli na Samuel Jackson wanazitendea haki, kuna movies za watoa maamuzi Morgan Freeman anazipatia sana.
 
Ni kweli hujui au unatania?
sitanii mkuu. Deenzel ana Oscar 2, Morgan 1 na Samuel 0. ila kwenye total box office dunia nzima hakuna kama Samuel. nikicheki performance ya Jackson kwenye movie zake huwa nastaajabu kipaji. nikija kumcheki Denzel na Morgan naona nao wamoto.
umecheki the hateful eight (2015) ya Samuel?
 
Nikiona movie kwenye cover in huyo mzee, nainunua bila hata ya kusoma maelezo. Najua iwe amehusika au ni yake itakua ya ukweli tu.
Mr speaker anakwambia magaidi ukiwapa kitu watataka kingine
 
nimejiuliza kati ya hawa waigizaji weusi nani ni mkali zaidi sijapata jibu. we unaona nani mkali zaidi ya wenzake?
Mwanangu hao watu ni hatari huwezi kusema nani kampita mwenzake..mana ukimcheki denzel kwenye TWO GUNS afu samuel kwenye AVENGERS au XXL ni hatari
 
Back
Top Bottom