Wakuu,
Kuna nyimbo za husen jumbe nazitafuta sana bila mafanikio. Nilizisikia zamani sana wakati mtoto sasa zimeganda kichwani.
Naombeni mnisaidie kutaja band ambazo ameimba nazo au...
Wakuu habari za wakati huu.
Samahani naomba kufahamu je kuna application yoyote au site yoyote ambayo inaweza kunipa synopsis kwa ajili ya kufanya short swahili movie reviews.
Asanteni
Mwenye kujua katuni flani hivi ilikuwa ikioneshwa ITV wanaingia kwenye kitu kama Elevator hivi afu wanaenda kupigana na wadudu mbalimbali pamoja na monsters mbalimbali.
Nkumbushe jina ya hii...
Mzee Juma alikuwa amekaa nje ya nyumba yake asubuhi anakunywa pombe.
Mudi jirani yake anapita na kumuuliza, "Juma, kwa nini umekaa hapo asubuhi yote hii ukinywa pombe?"
Juma: Kuna baadhi ya...
Walikuwa na sauti za kuvutia na za kipekee, mwenye audio tafadhali anaweza kupandisha (ku-upload nyimbo husika)
Maunda Zorro - Nataka niwe wako
Vumilia (Vumi) - Tatizo umasikini
Weka orodha...
Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo...
Hahahaha ah vijana sasa hivi naona wanajitahidi
Ari Mpya
Kasi Mpya
Nguvu Mpya
Ehee hata mimi nimeliona hilo toka longi taim
Au siyo Babu Ayubu
Hilo liko wazi
Jamani vijana wapewe nafasi
Si ndio...
Kuna baadhi ya mistari au beti za nyimbo za wasanii wetu wa kizazi kipya ambazo ukizisikiliza kwa umakini lazima uondoke na tashwishi.
Lakini kubwa zaidi ni pale unapojaribu kuusikiliza wimbo...
Leo nilikuwa nasaka kitabu kipya chochote cha kusoma, ila kiwe cha kipelelezi na mapigano, nikakutana na kitabu kipyaaaa! Quality nzuri cha Musiba kiitwacho hujuma. Kilikuwa kimefungiwa kitabu...
Hawa jamaa miaka kama 12 sijawahi waangalia siku za Hivi karibuni nilitumiwa picha na wife akisema hili ni jini la bongo movie. Nikajua ni utani wa bibie.
Basi Kwa siku za Hivi karibuni nikasema...
Haya ndiyo mapambano ambayo nina hamu sana kuyaona.
1) Terence Crawford vs Error Spence (Truth)
2) Terence Crawford vs Gervonta Davis (Tank).
3) Gervonta Davis vs Vassily Lomachenko
4) Andy...
Inasikitisha sana licha ya Tanzania kuwa Taifa lenye vijana wengi wenye vipaji vingi pia.
Lakini hatuna vijana wengi wanaojulikana kimataifa kama mataifa mengine, Tukiangalia mataifa mengine Kama...
Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega!
Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana...
Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma.
Siku...
Ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa tano, watumishi wa umma na sisi wa sekta binafsi sote tumejidamka zetu makazini kama kawa, si unajua tena… Mambo ya kuwajibika. Mambo yote yamekwenda sawa, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.