Ni nyimbo zipi zinakukumbusha machungu ya mapenzi na hata kuzichukia kabisa?

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Wakati ambapo nyimbo ni sehemu muhimu kwa wapenzi wengi kunogesha mapenzi na hata kuwa kumbukumbu ya happy moment wakati wa nyuma katika mapenzi.

Upo ukweli mwingine usioepukika katika visa vya watu kuumizwa lakini wakati huo huenda kuna nyimbo zikawa zinaelezea uhalisia wa yaliyokukuta na pengine ukute ndo nyimbo iliyokuwa inapigwa kila kona na ukisikia tu unakumbuka machungu.

Ama nyimbo iliyokuwa inapigwa ama kuisikia kwa namna yoyote iwe radioni, kwa mpenzi wako, kwenye disco, kwenye milio ya simu ila yote inakukumbusha machungu uliyowahi kupata.

Kiasi cha mpaka kuichukia nyimbo ile ama kutotaka kabisa kuisikia.

UKIANDIKA NYIMBO NA KISA KWA KIFUPI ITAPENDEZA ZAIDI.
 
Looiii, loooiii, mndumi ruwa ngekukundi u monyiii.... hii nyimbo bwana inanikumbusha mbali sana. Nilikua niko secondary boarding kule kijijini.

Nilienda kujiunga na kwaya kwa ajili ya kuwa karibu na demu mmoja nilimpendaga..... mimi sikua mlutheri kwa hiyo nikafeki...sasa kumbe kwaya wanaimba kilugha. Hiyo ndio ilikua nyimbo pekee naijua....na demu alinipiga kibuyu..ila nilikuja mpata akiwa chuo. sasa yuko hapo CRDB azikiwe.

Kama yuko huku anajijua.
 
Ina maana- Mb Doggy

Inanikumbusha enzi nimekutana na marehemu mpenzi wangu wa kwanza, alikuwa anapenda sana kuniimbia huo wimbo.
Mpaka leo nikiusikia huo wimbo, nalengwalengwa na machozi na kuishia kuzima redio.

R.I.P my boy Ernest...

daah..so sad...pole sana.
 
Looiii, loooiii, mndumi ruwa ngekukundi u monyiii.... hii nyimbo bwana inanikumbusha mbali sana. Nilikua niko secondary boarding kule kijijini. Nilienda kujiunga na kwaya kwa ajili ya kuwa karibu na demu mmoja nilimpendaga..... mimi sikua mlutheri kwa hiyo nikafeki...sasa kumbe kwaya wanaimba kilugha. Hiyo ndio ilikua nyimbo pekee naijua....na demu alinipiga kibuyu..ila nilikuja mpata akiwa chuo. sasa yuko hapo CRDB azikiwe. kama yuko huku anajijua.
Nimecheka sana.....
 
Nimeshapoa mkuu....
Hiyo ilikuwa 2006...sipendi kukumbuka wala kuusikia huu wimbo

Nivigumu kusahau kitu unachokipenda mara nyingi huwa tunajifaliji tu..na ukisikia tena maumivu yanaludi.mungu akupe nguvu katika hili...apumzike kwa amani shemeji yetu.
 
Wimbo wowote wa boys 2 men, especially wa 'water run dry' yan nilikua na boy wangu anaziimba zote, tukigombana akiniimbia tunardiana..... yan naliaga kabisa nikiwa nazckiza.......
 
Pole sana
Ina maana- Mb Doggy

Inanikumbusha enzi nimekutana na marehemu mpenzi wangu wa kwanza, alikuwa anapenda sana kuniimbia huo wimbo.
Mpaka leo nikiusikia huo wimbo, nalengwalengwa na machozi na kuishia kuzima redio.

R.I.P my boy Ernest...
 
Ina maana- Mb Doggy

Inanikumbusha enzi nimekutana na marehemu mpenzi wangu wa kwanza, alikuwa anapenda sana kuniimbia huo wimbo.
Mpaka leo nikiusikia huo wimbo, nalengwalengwa na machozi na kuishia kuzima redio.

R.I.P my boy Ernest...

pole sana dear
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom