Bongo Fleva imeenda wapi?

Bongo Fleva imeenda wapi?

Mkuu achana na bongo fleva,karibu kwenye anga la burudani la muziki wa kikongo!.

Kula Beer 2 za Castle lite halafu weka magoma ya Fally Ipupa uanze na Alliance kisha Mayday,hutojutia mkuu!

Ukitaka muziki mzuri wa Bongofleva kasikilize miziki ya zamani siyo ya sasa!
 
Back
Top Bottom