The Covenant

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,305
9,471
Hii movie nadhani naiangalia mara ya 10 Guy Ritchie alitulia aisee.

MV5BOWZhYjY4ZjgtOWJhNS00Y2E2LTkzYWMtNzY3ZTFiNDUyZTBlXkEyXkFqcGdeQXVyMTMzNzIyNDc1._V1_.jpg
 
Nadhani angalau Kila mtu anahitaji mtu kama Ahmed kwenye maisha yake
Gharama ya US visa sio poa
 
Tupe kidogo!
Mkuu itafute hutajuta kupoteza muda kuangalia ni movie inahusu operation za US army afghan
John kinley anapoteza interpretor kwenye mlipuko Kisha baada ya hapo anampata mwingine baada ya interview ndogo
Huyu jamaa anaitwa Ahmed ameshawahi kuwa Taliban akaasi baada ya wataliban kuua kijana wake
Jamaa alikuja kuwa msaada mkubwa sana wa kumuokoa John kinley
Mi sio muhadithiaji mzuri ila ndio hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom