Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mbali na namba yao kuwa na members saba lakini WANNE ndiyo wamesikika zaidi na nitawalezea kinamba, kwa namna ninavyowakubali; A. KUMI ZA JUMA MOHAMMED MCHOPANGA (MBAKIAJI, X MAN, BISHOO...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
acha tamaa za paka, kuparamia majirani. roho ikakutoka, vya watu kuvitamani. mchana umeokoka, usiku hayawani. kila mtu wamtaka, umtupe kitandani. hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
2 Reactions
11 Replies
929 Views
Ua langu limechumwa- bila mimi kujua.. Moyo wangu unauma- natamani kujiua.. Amekosa huruma- ua langu kunyakua.. Hivi nan kamtuma- leo hii naugua.... Ua lilinawairi- kila mtu alidata.. Haikua tena...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi Utapata mautamu, bila hata ya hirizi Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi Bby...
2 Reactions
3 Replies
543 Views
Digital product ni vitu kama mziki, video, movie, games, documents au file lolote lile ambalo lina access Mtandaoni tu. Nataka nisakue watu 1000 wakununua Digital product ya 10k niingize hiyo 10M...
1 Reactions
8 Replies
379 Views
List iko hivi, 1. 100 kilos - Ferre Gola 2. Ya Jean - Madilu 3. MayDay - Fally Ipupa 4. Kwangaru - Harmonize 5. Teacher Konde - Harmonize 6. Tetema - Rayvany 7. Vita Imana - Ferre Gola 8. Mario -...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Wengi walisoma hizi hadithi zamani. Ngoja tujikumbushe humu. Pia unaweza kusioma ndani ya maktaba app na vingine zaidi ya 60. Tupm au namba 0715278384 ukitaka kuungwa. HEKAYA ZA ABUNUWASI NA...
4 Reactions
47 Replies
20K Views
Habari zenu Wana JF, Muda mrefu nimekuwa naitafuta hii muvi ya REROUNI, ni App gani nayoweza ipakua au kuna mtu anayo anistue wandewa.
0 Reactions
5 Replies
400 Views
Kabla ya CCM kuzaliwa Chama cha TANU kilikuwa kinamiliki bendi kupitia twai lake la TANU Yough League ilijulika kama Vijana Jazz. Mwanzoni bendi ilianzishwa na John Ondoro Chacha mwaka 1971 ikiwa...
3 Reactions
5 Replies
709 Views
Hii ngoma nasikia harufu ni nyimbo ya kawaida sana...kuanzia content flow hata beat ila nasikia wana kitaaani wanasema ni ngoma kali sanaaa Mbaya zaidi wanasema chid benz kamfunika Roma lakini...
1 Reactions
9 Replies
897 Views
Pasi na shaka kwa waliobahatika kuitazama series ya GAME OF THRONES mpaka mwisho watakiri kua kwa upande wa mpnagilio wa matukio wahusika mzingara story..... ile series haina mpinzani Ni series...
12 Reactions
39 Replies
5K Views
Naombeni ushauri, mke gani nichague! Niangalie uzuri, mtaani wanijue? Au anaeweza shughuli, kitandani nitulie. Au alietulia tuli, pekeangu nitanue. Ebu nipeni ushauri, leo hii nijue. Nichukue...
5 Reactions
13 Replies
911 Views
Leo utahonga laki, kesho atataka dola. ukimnunulia mishkaki, atadai na kijora. yani hawasomeki, ni nyingi zao hila. michekupo hawaridhiki, zitaisha zako hela. Utampeleka samakisamaki, ila...
4 Reactions
9 Replies
419 Views
6 Reactions
158 Replies
15K Views
HAVINTISHI 1 HUSQER BALTAZAR (0657762790) Siku moja nimekaa nyumban nikashangaa baba anakuja na shangazi pamoja na mwanaume ambae alikuwa anaonekana kama hajapishana sana na baba, “havintishi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Taja Mwimbaji wa injili na ngoma zake unazozipenda😍😍😍 Sedekia-zote 1. Ni Neema 2. Dunia ya madiliko R. Muhando almost zote Shusho ndio kabisaaa Essence of Worship B. Bukuku-Nakutegemea Mungu...
5 Reactions
121 Replies
7K Views
siku ya jumapili, maskani niliketi. kwa macho yangu mawili, nikifanya utafiti. akapita kimwali,tena alikua fiti. alikua pisi kali, rangi yake chokoleti. sifa anastahili, yuko vizuri pale kati...
1 Reactions
10 Replies
865 Views
Habari ndungu zangu,nimejaribu kupost hi post kwenye jukwaa la dini lakini nimeambiwa "Sina enough permission to post only members" naombeni mwenye kujua majina ya nyimbo za katoliki au link...
3 Reactions
17 Replies
25K Views
Hatoki karb yako, pale ukiwa na hela. Ataacha chokochoko, penzi lote utapewa. Hata ukiwa mnoko, sifa tele wamwagiwa. Utapata madikodiko, na mapenzi utalewa. mke atakuelewa pindi ukiwa na hela...
3 Reactions
9 Replies
729 Views
Wakuu kwema? Alielewa mistari ya Dizasta Vina kwenye Underrated remix ya Stamina. Atugee somo kidogo. Mana daah..😩
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom