Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka...
Wadau wapenda ubuyu wa masuper staa najaribu kujiuliza kuhusu huu mkoko aliotunukiwa binti tunda ni young D kamtunuku au kuna anaza sponsa? @nifan@warumi najua mtakuwa mmeshaona huu ukwaju
Hellow,
Kuna habari nimeziona toka kwenye blogs eti nyumba ya Dr Mengi iko kwenye hati hati ya kubomolewa, je kuna ukweli wowote juu ya hili? Au ni rumors tu...
From @officialaccountofDiamondPlatnumz said as following.
Wadau leo Mwamba wetu M'bwana Samara anatuwakilisha kwenye Tuzo za Glo-cuf Awards....tusiache kuangalia kupitia @dstvtanzania.
Wakuu leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jina instagram, nikakumbuka kama niliisha wahi liona sehem ngoja nicrick dah, lahaula lakwata.nikakutana na mashauzi ya kiume Mungu wangu...
Juzi kati mitandao ya kijamii na kwenye ukurasa wake wa Facebook, Wastara alipost kuwa nyumba zake mbili zinavunjwa, leo amepata mume kutoka CCM, Sadifa Juma ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM - Taifa...
Ule urafiki wa mastaa wa bongo movie ,wema sepetu pamoja na kajala masanja unadaiwa kurudi kwa kasi huku wenyewe wakifanya siri hili wambea wasianze choko choko za kuwagombanisha, habari chini ya...
Tu wazima na siha njema na harakati za kutafuta maisha hapa na pale in order to survive na kuendeledha vizazi vijavyo,but now siegamii upande wowote ule wa Msanii Fulani,Ila tu patakaponilazimu...
Simba dume kutoka Ilala boma(maana Tandale hamna simba) limesema linataka kwenda sauzi na kukaa miezi mitatu kutengeneza na kushoot video kwa ajili ya album yake mpya huku mastaa kibao kutoka...
Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Ni mtu Mwenye Mchango Mkubwa Sanaaa Katika Maisha Yangu Leo Hii Mimi Ninathaminika Kutoka Kwenye...
Team Membership JamiiForum kama kichwa cha tajwa hapo juu. Wasanii wa Bongo-Dar Leo kukaa kikao chao kwaajili ya kujadili Mziiki wa Bongo, ni nini wafanye na kipi, ili iweje, yote kwa yote kutoboa...
Naughty By Nature’s Treach Disses Kanye West & Kim Kardashian
Treach defends his late friend Tupac.
by Soren Baker
Naughty By Nature’s Treach disses Kanye West and Kim Kardashian in a series of...
Ni miaka kadhaa sasa huku mtaani kila nikipita pita sehemu tofauti nakutana na story tatanishi juu ya wasanii wa kike wa bongo movie
Story yenyewe ni kuwa hawa wasanii wanauza papuchi...
kama kichwa habari kinavosema,Nyimbo ya #UTANIPENDA imeshika nafasi ya kwanza katika nyimbo zinazopendwa,zinazogongwa na kuombwa na kuchezwa kwenye vituo vya habari Tanzania.
No.1#UTANIPENDA...
Gilla akiogelea
…akiokolewa baada ya kuzidiwa na maji.
…akipatiwa huduma ya kwanza
Stori:Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Glasnost Kalinga ‘Gilla’ amejikuta akinusurika kifo wakati...
Naandika hili kwa furaha ya kweli kabisa ( in Magufuli voice) huyu msanii nilipendaga sana kazi zake ila baada yakuchezea mangumi mengi mfululizo ya dudu baya akapotea gafla.
Sasa karudi vizuri...