architect astely
Member
- Nov 21, 2015
- 34
- 13
Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka kipindi walichoanza kujulikana kimuziki nikaja gundua kuwa Alikiba anakipaji na anajua mziki zaidi ya Diamond.Sijaangalia vigezo vingine kama nani anakubalika zaidi au nani anahit zaidi kwa sasa. Ni maoni yangu binafsi so please argue and don't shout