Mbwana Samata anatuwakilisha kwenye Tuzo za Glo-Cuf Awards-2016

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
195
From @officialaccountofDiamondPlatnumz said as following.
Wadau leo Mwamba wetu M'bwana Samara anatuwakilisha kwenye Tuzo za Glo-cuf Awards....tusiache kuangalia kupitia @dstvtanzania.
 
Imependeza nowadays nchi yetu inajulikana kimataifa sasa #Diamond Platnumz ameweka bendera mlangoni pake na mbwana samattakulaumu ameweka uani pale.Inatia fora kwa kweli.
 
wabongo ndo walivo kqbatisha wapi? Kapata kihali.Dangote peperusha bendera ya Tz na Samatunga.
 
Back
Top Bottom