Yuko wapi Miriam Ikoa

Wengine Mziki Kama Shanice,japo wazuri misili ya Kibibi,Miondoko Kama Faudhia,Je ungependa kithethe Kama Radhia? Mie nawaulizia Mademu aliyewataja Mwana FA na Jay Mo kwenye Mimi na Mabinti na Kama unataka Demu mtawalia.
 
Huyu hapa ana duka la nguo kwa sasa japo sijui liko wapi
images
images
upload_2016-1-5_4-36-46.jpeg
upload_2016-1-5_4-37-53.jpeg
upload_2016-1-5_4-38-13.jpeg
 
Macho kama Miriam wa Ikoa unaweza tangaza ndoa-FA
SIO KWA SASA AISEE

NAWASHAURI HAWA WASICHANA BADALA YA KUFANYA MAMBO YASIYO NA MAANA NA KUPONDA RAHA WAKATI WA UJANA WAO NA WAKIWA HOT WAWEKEZE NA WAJITAHIDI KUTOKA KIMAISHA

SITAKI MASWALI
 
Unajihami kuulizwa swali.
 
Wapi Mirian Hassan nusu mbongo nusu msomali naenda kwao knyama akinata nageuza Gari.
 
SIO KWA SASA AISEE

NAWASHAURI HAWA WASICHANA BADALA YA KUFANYA MAMBO YASIYO NA MAANA NA KUPONDA RAHA WAKATI WA UJANA WAO NA WAKIWA HOT WAWEKEZE NA WAJITAHIDI KUTOKA KIMAISHA

SITAKI MASWALI
SIO KWA SASA AISEE

NAWASHAURI HAWA WASICHANA BADALA YA KUFANYA MAMBO YASIYO NA MAANA NA KUPONDA RAHA WAKATI WA UJANA WAO NA WAKIWA HOT WAWEKEZE NA WAJITAHIDI KUTOKA KIMAISHA

SITAKI MASWALI
Babu ananusa kaharufu ka wivu kwenye hii post....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom