Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,431
uploadfromtaptalk1451840961778.jpg



Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Ni mtu Mwenye Mchango Mkubwa Sanaaa Katika Maisha Yangu Leo Hii Mimi Ninathaminika Kutoka Kwenye Kunyanyasika Ninaheshimika Kutoka Kwenye Kudhalaulika Nimekuwa Maarufu Na Kupata Uthamani Mkubwa Kupitia Yeye Siotu Kwa Kipaji Nilicho Nacho Kwani Wangapi Wanavipaji...???

Naisaidia Familia Yangu Kwa Kile Nikipatacho Sihaba Akiwa Na Mchango Wake Mkubwa Sana...... Lakini Mwisho Wasiku Haya Ni Maisha Nahii Ni Dunia Inamambo Mengi Sanaa Hasa Sisi Vijana Ambao Niwepesi Wa Kujisahau Kinaweza Tokea Kitu Kidogo Sanaa Ukasahau Wema Na Fadhira Ulizotendewa, Lakini Pia Mungu Ndio Katukutanisha Na Karibia Watu Wengi Wanajua Tumekutanaje Kwamana Nimekuwa Nikiulizwa Katika Vyombo Vya Habari Tofauti Tofauti So Watu Wengi Wanajua Tulivyo Kutana But Hakuna Anaejua Tutaachana Vipi kwamana Sisi Ni Binadamu Kuna Kifo Leo Na kesho Huwezi Jua Yawanadamu Ni Mengi Siamini Kuwa Binadamu Wote Duniani Wanafurahia Mahusiano Na Ukaribu Wetu Na Huwezi Shindana Na Binadamu Ukijua Yambele Wenzio Wanajua Yanyuma Ndio Mana Yakujichora Hiii Picha Yake Amabayo Haitofutika Hadi Naingia Kaburini Hata ikitokea Hatupo Pamoja Nikiitazama Hii Picha Itabaki Kama Kumbu Kumbu Na Heshima Yangu Kwake Hadi Siku Yangu Ya Mwisho Haya Ni Maamuzi Yangu Binafsi.....

Source: Instagram page Yake
 
Last edited by a moderator:
Duh utoto una raha maana nahisi mwili wangu ungekua zaidi Lil Wayne kama ningemchora kila alienisaidia,ivi nani anawadanganya tattoo ni alama sahihi kua unamthamini mtu ndio maana sishangai watoto na wadogo zetu kua mashoga wanaiga kila kitu.
 
Kaandika utoto.....very unnecessary

Utoto gani umeuona hapo unajua ya rohoni mwake kama haujamwelewa ndio nyie wagimu kama vyuma kila kitu lazima ijaji....pita haraka hayakuhusu na amekusema humo ...binadamu nyie...
 
Huu uwe mfano kwa wengi kila mtu na maisha yake ya kushukuru atakavyo.

Wivu unajaa wengi kanvile hata sumuni wamaweza toa hata kujiendeleza na kuandika humu ka vile wako vileeee kumbe wanasahau mengine wanapostiga yanatoa uhalisia ulivyo maishani mwao....nacheka...wivu mbaya.
 
Hahahaha umetisha harmonize

Afu kuna wapuuzi wengine humu wana panick utafikiri kampa moyo wake duuuh.. Huyo kajichora tu, ila kuna wengine hamjajichora kitu kuhusu Diamond ila mmemuweka moyoni, kila siku hayapiti masaa kadhaa bila kumuongelea kuliko mnavyomuongelea hata Mungu wenu, unafikiri nani zaidi kati ya harmo na nyinyi? mwenye kimchoro au aliotoa akili na moyo wote?
 
Back
Top Bottom