MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,618
- 21,354
Simba dume kutoka Ilala boma(maana Tandale hamna simba) limesema linataka kwenda sauzi na kukaa miezi mitatu kutengeneza na kushoot video kwa ajili ya album yake mpya huku mastaa kibao kutoka Nigeria,Tz na Sauzi wakitaka kuweka sauti zao kwenye album hiyo.
Chidy alidai anaangalia kati ya Tekno,Davido,Don jazz na Wizkid nani akakae na nani amuache ili album yake isije ikasound kinaijeria sana kuliko kibongo na kuhusu nani anamuogopa kwny game sasa alisema "nilkuwa namuogopa marehem ngwea pekee"
Kwa maana hiyo Simba kurudi tena kutafanya wasanii kama weusi,ney,izzo na wengine wakose rotation nzuri kwenye redio station.
Karibu sana chidy kwny seat yako maana ilianza kupata vumbi