Kikao cha wasanii chakaliwa leo Bongo

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
195
Team Membership JamiiForum kama kichwa cha tajwa hapo juu. Wasanii wa Bongo-Dar Leo kukaa kikao chao kwaajili ya kujadili Mziiki wa Bongo, ni nini wafanye na kipi, ili iweje, yote kwa yote kutoboa kimataifa .

Si chongi sana naweka kalamu chini kulisikilizia walojadili kwenye Hall lao. Nazani members wore mtakuwa mashahidi kwa hili litakalotokea uko Kikaoni chao.

Chanzo: Bongo5.com
 
Last edited by a moderator:
Hapo utasikia wanaohudhuria ni wasanii chipukizi wale wakongwe kazi yao ni kulalamika tuu,vikao kama hivyo wanajifanya wao legendaries
 
Team Membership JamiiForum kama kichwa cha tajwa hapo juu.
Wasanii Wa Bongo-Dar Leo kukaa kikao chao kwaajili ya kujadili Mziiki Wa Bongo,Ni nini wafanye,na kipi,ili iweje,yote kwa yote kutoboa Kimataifa .
Si chongi sana naweka kalamu chini kulisikilizia walojadili kwenye Hall lao.Nazani members wore mtakuwa mashahidi kwa hili litakalotokea uko Kikaoni chao.
Chanzo:Bongo5.com
Hivi tanzania kuna wasanii?
 
Kikao Kimeandaliwa na Ruge ili wasanii wasikubali kulipwa na vituo vya media, maana nyimbo hazitachezwa ... Ruge Bana ni shida....
 
Na wangekubali kulipwa ingekuwa ndo mwisho wao maana sasa hivi hawalipwi lakini nyimbo zinabaniwa za baadhi ya wasanii
Je wakilipwa tutawasikia tena kweli kina nuh nasiri harmonize nk
Maamuzi sahihi kama ni wao wenyewe lakini

Bora wapate kidogo kuliko kutopata kabisa.

Embu jiulize sasa hivi hawalipwi nyimbo zao zikipigwa radioni au kwenye TV wanafaidika na nini?

Wajanja wamepitisha pesa kwa wachache ili waachie na wameachia kweli.
 
Hivi hata wakilipwa pesa inakuwa ya maana kiasi cha kuweka hatarini kazi zao kuto kupewa airtime? Matokeo yake wanaija ndio watatuteka mazima hadi nyimbo zao za vichochoroni zitapigwa..

Cha muhimu serekali ingeangalia tu namna ya kuwasaidia wasanii kwenye vitu vya muhimu zaidi ya hili kwa sasa, kuanzia suala la albums n.k Tanzania tunasikia tu wenzetu wanauza nyimbo itunes, ila mbongo ataweza kulipa 2000 wakati anaweza kupakuwa buuuure michuzi
 
Bora wapate kidogo kuliko kutopata kabisa.

Embu jiulize sasa hivi hawalipwi nyimbo zao zikipigwa radioni au kwenye TV wanafaidika na nini?

Wajanja wamepitisha pesa kwa wachache ili waachie na wameachia kweli.
Ndo maana nikasema hiyo system ya kulipwa ita wa favour wachache tu ila ma underground watateseka hasa clouds ndo wana huo ujinga
Wanathamini pesa kuliko kipaji
 
Cha muhimu serikali iwasaidie majembe Tu Hawa wasanii wakalime, hakuna chochote cha maana wanachoimba sana sana mi naona wazururaji mjini wanaongezeka. Badala ya kutumia nguvu zao kulima mashamba wao wanakatika viduku Tu havina faida yoyote kila siku wao kulialia Tu wasaidiwe. Mbona wenzao wq bajaj hatuwasikii kuomba ikulu iwasaidie?
 
Last edited:
Ndo maana nikasema hiyo system ya kulipwa ita wa favour wachache tu ila ma underground watateseka hasa clouds ndo wana huo ujinga
Wanathamini pesa kuliko kipaji
Swala hapa walilotakiwa kuangalia ni mfumo wa uchezwaji wa kazi zao yangewekwa mazingira ya kuhakikisha kazi zote zinapewa nafasi mfano wange omba wasome sheria yenyewe kuona utaratibu wenyewe lengo likiwa ni kuvibana vyombo vya habari kucheza asilimia 99 ya nyimbo za nyumbani!

Serikali walikuwa na lengo zuri sana na wangesaidiana kuweka mfumo mzuri ikiwemo kukutanishwa na wamiliki wa vyombo vya habari kulijadili! Kusema wasilipwe wanapotea hakika....!

Labda kama wana hoja nyingine zaidi ya hizo...
 
Kituko cha wasanii wetu wanaisha kwa upepo unakovuma nakuelekea unakoishia, hata kama unaelekea chooni!!
 
Back
Top Bottom