Karibu tena Mr Nice

Madam Mwajuma

JF-Expert Member
Sep 13, 2014
7,069
6,742
Naandika hili kwa furaha ya kweli kabisa ( in Magufuli voice) huyu msanii nilipendaga sana kazi zake ila baada yakuchezea mangumi mengi mfululizo ya dudu baya akapotea gafla.

Sasa karudi vizuri kweli kipaji hakipotei natafuta wimbo wako niununue
 
Last edited by a moderator:
Mleta uzi kama cjaielewa vizur point yko apa?yaani ndo unamkaribisha arudi tn kweny gemu kwa kuwa umemmiss au keshatoa ngoma ya ujio mpya ndo unamkaribisha tn na huo ujio wake?dadavua
 
Ha ha ha ha maajabu ,cna hakika kama ni mchaga kweli huyo jamaa ,wachaga kwa hela yeye alizikamata nyingi ila akaziachia ziende nahc angekuwa msanii mwenye hela nyingi bongo
 
Huyu "Kuku kapanda baiskeli" na mwenzake wa "Chambua kama karanga" walipaswa kuwa ma legends nw. Basi tena, hata kizazi cha sasa hakiwafahamu.
 
Tumekumis sana Mr Nice karibu sana.
DARLIVE13.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom