Nyumba ya Dr. Reginald Mengi kudaiwa kuwa itabomolewa

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,639
Hellow,

Kuna habari nimeziona toka kwenye blogs eti nyumba ya Dr Mengi iko kwenye hati hati ya kubomolewa, je kuna ukweli wowote juu ya hili? Au ni rumors tu...
 
Hellow,

Kuna habari nimeziona toka kwenye blogs eti nyumba ya Dr Mengi iko kwenye hati hati ya kubomolewa, je kuna ukweli wowote juu ya hili? Au ni rumors tu...
Yani wewe una okoteza habari halafu unakuja kuuliza? nilitegemea hii iwe habari na si maswali tena! hizo habari umezipata wapi?
 
Back
Top Bottom