#UTANIPENDA imeshika nafasi ya kwanza katika Nyimbo zinazopendwa #NchiniTanzania.

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
195
kama kichwa habari kinavosema,Nyimbo ya #UTANIPENDA imeshika nafasi ya kwanza katika nyimbo zinazopendwa,zinazogongwa na kuombwa na kuchezwa kwenye vituo vya habari Tanzania.
12471739_1042637585758055_7495757178617618306_o.jpg

No.1#UTANIPENDA
No.4#AIYOLA
No.5#CHEZA KWA MAIDOIDO
more info@cmeatanzania
 
Last edited:
U

Uko sahihi, kila ninapopita wimbo huu hupigwa.
 
tatizo la viazi limekua ni kilio kikubwa na jua
linawatesa wengi ila mama pima ni zaidi ya
suluhisho fika sasa soweto hotel kula bonge la
viazi matoke utayapata naamini utaipenda
 
tatizo la viazi limekua ni kilio kikubwa na jua
linawatesa wengi ila mama pima ni zaidi ya
suluhisho fika sasa soweto hotel kula bonge la
viazi matoke utayapata naamini utaipenda

Yule Eric kwa kweli anafurahisha na yake anayofanya.
 
Jumatatu kwenye kipindi cha michezo cha clouds tv walikuwa wnamhoji kocha wa yanga[ilikuwa siku yake ya kuzaliwa] akaulizwa anapenda nyimbo gani ya tanzania, akasema anapenda nyimbo mpya ya diamond ni nzuri sana!!
 
kama kichwa habari kinavosema,Nyimbo ya #UTANIPENDA imeshika nafasi ya kwanza katika nyimbo zinazopendwa,zinazogongwa na kuombwa na kuchezwa kwenye vituo vya habari Tanzania.
12471739_1042637585758055_7495757178617618306_o.jpg

No.1#UTANIPENDA
No.4#AIYOLA
No.5#CHEZA KWA MAIDOIDO
more info@cmeatanzania
Mzee King Kiki Juzi wakati anahojiwa na Mboni, aliulizwa ni wanamuziki gani wankuvutia? akawataja Diamond na Barnaba Boy, alipoulizwa tena kama anamfahamu Ali Kiba, akasema...HAPANA, huyo simjui. achana na Mondi wewe.
 
UNAWASHWA! AU NYIE NDIO VINEGA WALE WAKE ANAOWAPA BUKUBUKU ZA BUNDLE ILI MSHINDE HUMU MKIMPAMBA EEH!!?
 
Back
Top Bottom