warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Ule urafiki wa mastaa wa bongo movie ,wema sepetu pamoja na kajala masanja unadaiwa kurudi kwa kasi huku wenyewe wakifanya siri hili wambea wasianze choko choko za kuwagombanisha, habari chini ya kapeti zinadai wawili hao wanaonekana baadhi ya sehemu wakila bata kwa furaha huku kila mmoja akionekana kummis mwenzie