Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,344
Wadau wapenda ubuyu wa masuper staa najaribu kujiuliza kuhusu huu mkoko aliotunukiwa binti tunda ni young D kamtunuku au kuna anaza sponsa? @nifan@warumi najua mtakuwa mmeshaona huu ukwaju
Young Dar es salaama huyu huyu,yuko choka mbaya hajitambui na kwa sasa anakula unga kama kuku,amekuwa apeche alolo, maisha ya wasanii yanaenda kisaniii sanii, jana nimemuona nay wa mitego m/city yuko na bajaji kanaitwa PORTE lakini msikilize kwenye redio akiongea anajidai ni tajiri wa kufa mtuWadau wapenda ubuyu wa masuper staa najaribu kujiuliza kuhusu huu mkoko aliotunukiwa binti tunda ni young D kamtunuku au kuna anaza sponsa? @nifan@warumi najua mtakuwa mmeshaona huu ukwaju
Nachoma vitumbua,acha kuwaza chini muda wote.Una vitumbua vingap dada?
Labda alikuwa kampeleka mama yake, anadai PORTE alimnyakulia mama yake, yeye ana vifaa vingine vinne ikiwemo Prado, Morano, Mark X na kifaa kingine! Wasanii bhana, kweli wasanii!!Young Dar es salaama huyu huyu,yuko choka mbaya hajitambui na kwa sasa anakula unga kama kuku,amekuwa apeche alolo, maisha ya wasanii yanaenda kisaniii sanii, jana nimemuona nay wa mitego m/city yuko na bajaji kanaitwa PORTE lakini msikilize kwenye redio akiongea anajidai ni tajiri wa kufa mtu
Haina shida dada ila nadhan ww ndo umewaza chini, nilikua Namaanisha hivo vitumbua unavyochoma umebakiza vingap dada?nilitaka nikuungeNachoma vitumbua,acha kuwaza chini muda wote.
eeh hawajaachana kama kuachana labda wameachana jana usiku young dee ana piga kisela wanaogharamikia wapo pembeniHata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?
Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
Kafie mbali hukoHaina shida dada ila nadhan ww ndo umewaza chini, nilikua Namaanisha hivo vitumbua unavyochoma umebakiza vingap dada?nilitaka nikuunge
Awwwww,long time no see you.Njoo nikupe gari
Hahahahaaa ila wewe nae mbea?Tokea juzi nakuona ila nikawa najikausha tu.eeh hawajaachana kama kuachana labda wameachana jana usiku young dee ana piga kisela wanaogharamikia wapo pembeni
Hopefully utaanza kufa ww afu nifuate mmKafie mbali huko
eeeh cku izi wamepumzika kidogo wanasoma ramani ya raisi JPMTunda anafanya kazi gani?
Wameacha kumbebesha sembe?
Nielekeze unaakochomea vitumbua niwe mteja wakoNachoma vitumbua,acha kuwaza chini muda wote.
Nipo,i hope you good!Awwwww,long time no see you.
Hapana aisee,asante.