Ni vigezo gani vinavyozingatiwa na MTV Base kuonyesha nyimbo za wasanii?

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
195
Tu wazima na siha njema na harakati za kutafuta maisha hapa na pale in order to survive na kuendeledha vizazi vijavyo,but now siegamii upande wowote ule wa Msanii Fulani,Ila tu patakaponilazimu wote ni human being no is perfect.
#Gharadhi langu I wanna know,
NI VIGEZO GANI AMBAVYO VINATUMIWA KATIKA £MTV BASE ILI SONG LA MSANII YEYOTE NGOMA LAKE LIPIGWE KWENYE mtv BASE-AFRICA??MAANA KUNA MSANII ANALALAMIKA NGOMA ZAKE HAZIPIGWI KWENYE &MTV-BASE NA ANAHISI ANAFANYIWA FIGISUFIGISU NA WASANII WENZAKE NA @MASHABIKI WAKE WAMELALAMIKIA #MTV BASE KUNA BEHIND THE ISSUE KUHUSU MSANII WAO KWAMBA ANAWEDHA NA ANA HIT SONGS BUT MTV BASE NYIMBOZAKE ZINAWEKWA KAPUNI.OK,ANY WAY ,KAMA NILIVOSEMA HAPO AWALI NI VIGEZO VIPI VINAZINGATIWA ILI NYIMBO ZA WASANII KUPIGWA KWA mtv-BASE AFRIKA??
 
kwa kweli ata mimi sielewi maana navy kenzo nawaona sana MTV kuna huyu vanessa mdee pia namuona sasa huyu mkongwe sijui kawakosea nini ahahahahaha
 
kazi kweli kweli mtu mzima analia kuna jambo lakn labda kuna anaelewa vigezo tusibir waje
 
Vifuatavyo ndio vigezo vya kuwezesha nyimbo za wasanii zipigwe MTV BASE:-
1-Ubora wa video.( rangi,location)
2-Ujazo wa video ( wataalamu wa video wananielewa kwa mfano MTV Base hawachezi video iliyo chini ya GB 5) HAPA NDIO VIDEO NYINGI ZA KIBONGO NDIPO ZINAPOKWAMA MUICHUKUE HII NA MUWAPE NA WENGINE MAMBUMBUMBU YANAYOSUMBUKA NA USHABIKI.
3.Muonekano ( jinsi walivyo-shoot )
4-Ushindanishwaji ( hapa naomba nieleweke leo hii MTV Base zinatumiwa makumi kwa mamia ya video kwa siku ,maana kabla ya video kuchezwa kuna jopo la majaji wao wanazipitia kisha wanafanya maamuzi kutokana na vigezo vya hapo juu na muda wao pia )
 
kwa kweli ata mimi sielewi maana navy kenzo nawaona sana MTV kuna huyu vanessa mdee pia namuona sasa huyu mkongwe sijui kawakosea nini ahahahahaha

hahahaha please mkuu mtaje tu huyo mkongwe usiache kiporo hapa
 
nadhani hata levels za directors wa hizo video mf godfather hiaezi achwa ikachukuliwa ya kamtu cha huku ndanindani mwa tanganyika
 
M nadhani Sony / Rockstar cjui ngapi ngapi hapo ndio kuna tatzo. Kama alivyosema hata kwenye interview kuwa video yake ilikua blocked US isionekane kutokana na hizo kampuni zinazomsimamia.
Nani amfanyie fitna huko kwann basi isiwe trace? Huko mtv kuna mtu anamjua Kiba personal ad afanye hvo?
 
Vifuatavyo ndio vigezo vya kuwezesha nyimbo za wasanii zipigwe MTV BASE:-
1-Ubora wa video.( rangi,location)
2-Ujazo wa video ( wataalamu wa video wananielewa kwa mfano MTV Base hawachezi video iliyo chini ya GB 5) HAPA NDIO VIDEO NYINGI ZA KIBONGO NDIPO ZINAPOKWAMA MUICHUKUE HII NA MUWAPE NA WENGINE MAMBUMBUMBU YANAYOSUMBUKA NA USHABIKI.
3.Muonekano ( jinsi walivyo-shoot )
4-Ushindanishwaji ( hapa naomba nieleweke leo hii MTV Base zinatumiwa makumi kwa mamia ya video kwa siku ,maana kabla ya video kuchezwa kuna jopo la majaji wao wanazipitia kisha wanafanya maamuzi kutokana na vigezo vya hapo juu na muda wao pia )

Mtaalamu wa masuala ya umeme nakuunga mkono

Ila hujagusia Mtv wanavyozingatia wasambazaji wa video kama Vevo
 
upon sawa samsun na director enos wa kenya ashaongea sana hizi ubora kutokea kwenye video hadi audio..

Na still kuna vitu viwili

1. Video kukubaliwa kuonekana kwenye TV yao
2. Video kupata rotation ya maana, na mpaka nyingine kuingia top charts.

Viva Diamond, heshima zake maana wiki 7 hivii aliongoza African chart namba 1 mfululizo na Nana, hapo hta akija kupata tuzo ya best video of the year mtv mama ni wazi kabisa, no figisu...
 
Vigezo ni uzuri na ubora wa video. Video nyingi za babu ni mbovu, kama hii ya nagharamia ina mapungufu mengi ya kiufundi. Ni vema kutumia waandaaji wazuri wa video.

Babu anatumiwa sana na walafi kama zilivyo Simba na Yanga. Ananyonywa sana, nitapiga kelele hadi watakapompatia haki yake stahiki.
 
Vifuatavyo ndio vigezo vya kuwezesha nyimbo za wasanii zipigwe MTV BASE:-
1-Ubora wa video.( rangi,location)
2-Ujazo wa video ( wataalamu wa video wananielewa kwa mfano MTV Base hawachezi video iliyo chini ya GB 5) HAPA NDIO VIDEO NYINGI ZA KIBONGO NDIPO ZINAPOKWAMA MUICHUKUE HII NA MUWAPE NA WENGINE MAMBUMBUMBU YANAYOSUMBUKA NA USHABIKI.
3.Muonekano ( jinsi walivyo-shoot )
4-Ushindanishwaji ( hapa naomba nieleweke leo hii MTV Base zinatumiwa makumi kwa mamia ya video kwa siku ,maana kabla ya video kuchezwa kuna jopo la majaji wao wanazipitia kisha wanafanya maamuzi kutokana na vigezo vya hapo juu na muda wao pia )
Mkuu hapo kwenye video zenye zaidi ya GB 5 si kweli maana MTV Base wana qualifications zao ambazo unatakiwa kuziweka kwenye video yako i.e. codec ambayo ni H.264 ambayo kimsingi ni mov format...maswala ya location nzuri jinsi ilivyoshootiwa hio ipo kwenye kipengele cha screening ambapo licha ya nyimbo kua released vigezo na masharti kuzingatiwa ndo mana video ya Belle9 shauri zao ilichukua wiki kama 2 au 3 baada ya kutoka hapa Tanzania ili iwe premiered MTV Base...ila kwa mtu anaefahamika kwa kutoa Hits i.e. Diamond nadhani wanaipremiere tuu au kina p square sababu wanajua jamaa hawakoseagi...mpaja swali hili limeulizwa hii inaonesha watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa maana uki google mtv base video qualifications utaziona na pia ukigoogle trace tv video qualifications utaziona...
 
Nakushukuru mkuu Lyamber kwa kuweza kuitumia google vizuri,japo kuna kitu hujakielewa kwa usahihi wake kwa maana ukiingia kwenye hii web yao kuna qualifications zao Info | Video submission guidelines. Sasa kuna hizo ( data rate 50mb/sec or high, pia kuna kwa mfano DCAM HD422 1080i ( 50MB/S) na zipo nyingi mwisho umewekewa kwenye mabano (50mb/sec) Hii ina maana kuwa kama nyimbo ina dakika si chini ya 4 -5 lazima ujazo wake itakuwa si chini ya GB 5. Naisipo fikia ujazo huo wa DATA basi nyimbo yako haina ubora wa kupigwa. Nimeiandika kiwepesi ili nisiwapoteze wengine wasioelewa mambo haya na hata wakiingia kwenye hiyo web bado hizo mambo zitawachanganya.
 
Mkuu ukiwa tuna export file lako utakapo chagua hio XDCam..etc etc..file linakua kubwa sana nlishawai kujaribu video fui tu ilifika mpaka GB 3...kwaio ukiexport kwa hio format file lazima litakua kubwa tuu...
 
Back
Top Bottom