Diamond Platnumz: Mwafrika alievunja rekodi ya followers instagram

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Baada ya kushangaza ulimwengu kwa kuvunja record kadhaa, D kaja na rekodi mpya ya kufungia mwaka kwa kufikisha followers million 1.5 Instagram. Hakuna celebrity yeyote wa Afrika kafikisha hii idadi ya followers mpaka muda huu ninapoandika hii thread.

Big up Diamond kwa kutangaza taifa letu.
 
Last edited by a moderator:
11950661_1003299626399933_48934861_a.jpg

lupitanyongo
Verified
Lupita Nyong'o
goo.gl/8dstZU
  • 575 posts
  • 2.1m followers
  • 61 following
baada ya kushangaza ulimwengu kwa kuvunja record kadhaa D kaja na rekodi mpya ya kufungia mwaka kwa kufikisha followers million 1.5 hakuna celebrity yoyote wa Africa kafikusha hii idadi ya followers mpaka mda huu napoandika hii thread

Big up Diamond kwa kutangaza taifa letu
 
Hongera yake Mondi

But hiyo yote ni kutokana na ukweli kwamba wabongo wanaongoza kwa kutumia mitandao ya kijamii hasa huu wa Instagram, ukiangalia top ten ya maceleb wa ndani ya Africa wenye followers wengi humo wametawala wabongo tu!

Hata hawa kina davido na wiz kid ambao wamefikisha 1m followers asilimia kubwa ya followers wao ni wabongo!

Hii inaonyesha wabongo wengi tunatumia mda mwingi Instagram kwa ajili ya udaku udaku tuu!
 
We sema kuwa wewe na shabiki wake

Kuna watu wana followers 10 milion, tembea duniani uone. Huyo ana followers wengi wajinga 90%
 
Hongera yake Mondi

But hiyo yote ni kutokana na ukweli kwamba wabongo wanaongoza kwa kutumia mitandao ya kijamii hasa huu wa Instagram, ukiangalia top ten ya maceleb wa ndani ya Africa wenye followers wengi humo wametawala wabongo tu!

Hata hawa kina davido na wiz kid ambao wamefikisha 1m followers asilimia kubwa ya followers wao ni wabongo!

Hii inaonyesha wabongo wengi tunatumia mda mwingi Instagram kwa ajili ya udaku udaku tuu!
Napia inamaanisha wabongo wengi tunapenda kuona "Picha" kuliko kusoma..easy way" jiulize kwann twitter wabongo wengi hawapo na maceleb wetu kule ni mabubu Y"
 
Napia inamaanisha wabongo wengi tunapenda kuona "Picha" kuliko kusoma..easy way" jiulize kwann twitter wabongo wengi hawapo na maceleb wetu kule ni mabubu Y"
Kuhusu picha hiyo nayo ni sababu, kwa kua Instagram ni mtandao wa picture

Kingine me naona sababu kubwa ni aina ya mtandao wenyewe pia, hapa naamanisha jinsi ya kuutumia na muonekano wake. Muonekane wa Instagram umeonekana kuwavutia zaidi wabongo kuliko twitter. Pia Instagram ni rahisi zaidi kuutumia na kuzijua feature zake kuliko twitter.
 
Alfu siyo kweli kuwa d ndo anaongoza kwa followers wengi.nenda instagram search maya mia huyu bibie wa hapo dsm ako na followers million 1.7
 
Back
Top Bottom