SALAM TMK kundi jipya la mkubwa fella linaloenda kuwa tishio hapa mjini.

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
494
590
Habari wana JamiiForums,

Leo nimebahatika kukutana na wimbo mpya wa kundi jipya linaitwa Salam TMK linalodhaminiwa na mkubwa fella. Aisee ni nouma. Kuna baadhi wako chini lakini madogo wanajua.

Yamoto wajipange
 
Last edited by a moderator:
Mbona huyo dogo ana sound kama aslay?
Hivi hakuna jina lingine zaidi ya la Osama?

Bado sijaona jipya na utofauti yao na yamoto band! Wimbo unaonekana mzuri.
 
Wimbo mzuri nimeuona jana,kuna mtoto wa kike kafunika vibaya sana humo
 
watapata shida kuliteka soko la mziki... nahisi kama 'identity' ya mziki wao tayar ipo sokoni na watu ambao wanayo wanafanya vizuri sana kwa sasa... YA MOTO BAND!! ila madogo wana vipaji.. nahisi Mkubwa Fella angemchukua uyo demu Fetty akamuunganisha na YA MOTO Band labda tungepata kitu kizuri zaidi...
 
Mbona huyo dogo ana sound kama aslay?
Hivi hakuna jina lingine zaidi ya la Osama?

Bado sijaona jipya na utofauti yao na yamoto band! Wimbo unaonekana mzuri.
Yaa Rutta dogo anasound kama Aslay..let us wait and see
 
watapata shida kuliteka soko la mziki... nahisi kama 'identity' ya mziki wao tayar ipo sokoni na watu ambao wanayo wanafanya vizuri sana kwa sasa... YA MOTO BAND!! ila madogo wana vipaji.. nahisi Mkubwa Fella angemchukua uyo demu Fetty akamuunganisha na YA MOTO Band labda tungepata kitu kizuri zaidi...
Point!
 
Wote wako chini ya management moja naamini inalizingatia hilo
 
watapata shida kuliteka soko la mziki... nahisi kama 'identity' ya mziki wao tayar ipo sokoni na watu ambao wanayo wanafanya vizuri sana kwa sasa... YA MOTO BAND!! ila madogo wana vipaji.. nahisi Mkubwa Fella angemchukua uyo demu Fetty akamuunganisha na YA MOTO Band labda tungepata kitu kizuri zaidi...
Watu hamna wema, mnataka swala apelekwe kwenye kundi la simba? Atapigwa pumbu na kutemwa tu
 
Osama au Usama ni jina la kawaida na linatumika kama jina la kwanza (first name) kama ilivyo kwa Juma, Ali, Athumani, Joseph nk. Ni common name sana middle east tofauti na watu walivyolichukulia hapa.
Jina ambalo linaogopwa kwa sasa ni Laden,maana hata ndugu wa bin Laden hawalitumii kwa kuogopa kuhusishwa na uhalifu au kuhofia usalama wao.
Hivyo basi kuna watu wengi tu bado wanatumia hili jina
 
Nimeicheck hii ngoma,madogo wameanza vizuri...ila ningewashauri baadhi yao wabadilishe A.K.A zao coz ni mbaya kupata kutokea,wasisahau kuwa hata haya majina ya kisanii wanayotumia yanaplay role kubwa saana ktk msanii kujulikana kirahisi kwa hadhira...bora huyu aliyejiita @Osama na nazani ndo atakuwa famous haraka kuliko hao wengine.
Kuna huyu dogo aliyekuwa akiimaba kiitikio na osama yupo vizuri sana lkn aka yke si rafiki kwa kweli @podo namshauri atafute jina la kijanja,na pia kuna kale kadogo kao kaliimba mwisho kbs kama kanalalamika,inabd nae abadili ID yke anajiitaje @kijokachamdimu cjui...atafute jina la kijanja bana hadhira imtambue haraka....big up kwao,hasa hasa @Osama na @podo wameipamba hii ngoma!
 
Back
Top Bottom