Wimbo wa utanipenda umeteka hisia za Mh. Zito Zuberi Kabwe

six packs

Member
Dec 23, 2015
62
203
Wimbo wa Utanipenda wa Diamond platnumz umezidi kuteka hisia za watu wa kila rika, kila nchi, kila lugha, kila itikadi kutokana na ukali wa wimbo

Mh Zitto Kabwe ameguswa na kuamua kufanyia remix yake ya #utanipenda katika ukurasa wake wa twitter

"Kama namuona mwanangu, roho yangu Wiza
Chachage, anakwenda na dada yangu kwa
kitilam anafukuzwa atoke! #utanipenda "
https://mobile.twitter.com/zittokabwe/status/680166650914672640?p=v
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na akili timamu lazima utaupenda huo wimbo.
tofautisha kati ya akili na hisia, kupenda kunatokana na hisia na siyo akili, kama ingekuwa kupenda kunatokana na akili basi maprofesa na madr ndy wangekuwa na mapenzi ya kweli.
 
tofautisha kati ya akili na hisia, kupenda kunatokana na hisia na siyo akili, kama ingekuwa kupenda kunatokana na akili basi maprofesa na madr ndy wangekuwa na mapenzi ya kweli.
Hadi kufikia umri wako unaamini mtu kuwa profesa au dokta ndo ana akili. Hii hasara ya taifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom