warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Msanii wa maigizo nchini, Jackline Wolper Masawe, ambaye pia ameshiriki kama video queen kwenye wimbo mpya wa msanii Diamond Platnums huitwao Utanipenda, amefunguka ya moyoni kupitia mtandao wake wa instagram na kumsifia Zari hadharani kwa kumtunza Diamond, ambapo hivi karibuni amekua hasikiki kabisa kwenye scandal za kutoka na mademu wa nje toka alipokuwa na mrembo huyo wa Uganda ambaye pia ni mzazi mwenzie.
Wolper aliendelea kumwaga cheche na kuwasifia wapendwa hao kitendo ambacho kimetafsiriwa kama ni kumchoma staa mwenzie Wema Sepetu ambaye alikuwa ni zilipendwa wa msanii huyo mwenye title ya jina la Simba.

Last edited by a moderator: