Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Akizungumza kwa hasia na Ayo TV Alhamisi hii, Diamond alisema anawashangaa wasanii wanaotumia muda mwingi kumponda mtoto wake kuliko kutafuta pesa.

“Watu wamekaa kwenye sanaa muda mrefu mimi nimewakuta, nawaona wameanza kuwa mastaa kabla ya mimi, hawana viwanja, hawana nyumba, hawana magari.

Wangetumia muda huo kutengeneza maisha yao kuliko kukaa kumdis mtu mwingine.

Halafu mimi sipendagi kusema lakini inavyofika hatua kwenye vitu kama hivi mimi naongea.

Kwanza nilikuwa sijui uchungu wa mtoto sasa hivi naujua kwamba kweli mtoto anauma,” alisema Diamond. “Halafu mtu anayezungumzia inawezekana mtoto akawa na pesa kuliko hata yeye, kwasababu akaunti ya Tiffah inawezekana ikawa na hela hata kuliko huyo mtu anayemdiss huyo mtoto kama sio wangu mimi.

Inawezekana akawa na hela kuliko hata wewe unayesema mtoto sio wangu au unasema mtoto mbaya. Kwasababu mtoto alifunguliwa akauntiyake kwa mara ya kwanza ikaingia milioni 10. Ni mtoto inawezekana ni maarufu kuliko hata wewe kwasababu nikifika Nigeria wanaanza kuuliza Tiffah hajambo? So inafikia time hata kwa mtoto unataka kiki?”

“Kwa ndugu zangu wasanii waache kidogo kumfuata fuata binti yangu, kila mtu anakuja sijui DNA sijui nini,waache hizi mambo mimi ndiyemwenye mtoto.”
 
Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako. But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.

Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu. Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
 
Jamaa kama kapanic hivi, mi nashauri angekaa kimya wanaokusema wenyewe wangeona umewapuuza wangetulia, sasa ukijibu hivi ndo watakusema zaidi maana wameshajua unaumia wakimsema Tiffah, na hilo ndo lengo lao kuu kukunyima raha wewe
 
Eti hawa vijana hawa teh teh kwani yee mzee au kisa anadate na mzee ajiona naye mzee
 
Jamaa kama kapanic hivi, mi nashauri angekaa kimya wanaokusema wenyewe wangeona umewapuuza wangetulia, sasa ukijibu hivi ndo watakusema zaidi maana wameshajua unaumia wakimsema Tiffah, na hilo ndo lengo lao kuu kukunyima raha wewe
mkuu mtoto inauma acha tu
 
Wao wansosema hivo wao wenyewe wanalea watoto sio wao , jengine kwao wamezaliwa wengi lakini baba kapachikwa mitoto ya wauza magenge shenzi zao
 
Leo kaweza kuuliza vitu ambavyo uwa najiuliza,mtoto si wake je wewe unaumia na nini ????????
Unataka DNA wewe kama nani kwao ........ na ili iweje ............................. wewe mbona ujaweka DNA yako kudhibitisha kuwa wewe ni wa huyo unayemuita baba yako ????
 
Back
Top Bottom