Ferooz: 2016 nitasikika zaidi

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
306279e0b98da1a8aea42fb85e09fb83.jpg

 
Huyu teja kwisha habari, nilikutana nae mitaa ya sinza mori asubuhi ya saa mbili anayumba kishenzi.Anagongea lift ya boda na bajaji wanamchomolea. Ngada mbaya sana.
 
Hivi vijana inakuwaje wanajiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya?

Ni malezi au nini?
 
Alhamdullilah Mungu amenipa maisha yangu ya kawaida maana hawa wanaopata umaarufu channel zikikata wanakua wehu kabisaaa.
 
Akitoa ngoma moja matata mnanda flani kama ule aliowahi toa kipindi flani anarudi kwenye game regardless hayo makapa anayovuta kama ni kweli anavuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom