Wako wapi Man Dojo na Domokaya?

Francis Mawere

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
958
830
Awali ya yote nipende Kutoa Shukrani zangu za kipekee kwa mwenyezi Mungu kwa kunilinda wiki nzima hata nmepata nafaSi yakuwepo tena leo hii hapa Jukwaani
leo tuna angaza jicho kwa wakali hawa wa bongo fleva ambao miaka ya nyuma waliweza kuzikonga nyoyo za maShapiki wao vilivyo, na hawa si wengine ni MAN DOJO NA DOMO KAYA. Naweza sema kwamba vijana hawa sii wageni kuwaskia maskioni mwako kwani waliweza kuziteka media tofauti tofauti zenye ukubwa hapa Tanzania na hata nchi za njee kwa vibao vyao vilivyo kua vimejaa ujumbe tele kwa jamii mfano DINGI, BARUA, na NIKUPE NINI. Hivyo ni baadhi ya vibao walivyopata kutesa navyo kipindi cha miaka ya mwanzoni mwa 2000.
Jambo lakujiuliza ni je wakali hawa wamepotelea wapi?
Ni wazi kwamba leo hii ukipata nafasi yaku onana nao, swali utakalo wauliza ni mbona siku hizi hatuwasikii? Hicho ndicho kilichomo katika fikra za mashabiki wa hawa wakali au ukipenda waite manguli wa bongo fleva. Yawezekana kabisa kwamba hawa jamaa wanatamani kurudi katika game ya muziki nakuwika tena kama ilivyokua mwanzini laki inakua ni vigumu kwani muziki wa bongo fleva unazidi kukua siku baada ya siku na kwa vile ukimya wao kwa muda mrefu bila kusikika, imefanya hata mashabiki wao kuwasahau kabisa.Lakini tukumbuke yakua wahenga walisema "hakuna marefu yasiyo na ncha" yawezekana katika game hii ya muziki wakizazi kipya imekua ngumu na wala sii rahisi kama ilivyokua kipindi cha nyuma ambapo muziki huu haukua na soko ki vile, na kwakusema hivyo ni dhahiri yakua wakali hawa wamepotea kabisa.
Waliweza kutengeneza vibao vingi ambavyo nimeweza kuvitaja baadhi hapo juu na vingine ni kama vile HISTORIA, WANA KNOCK KNOCK, NIZIKWE HAI, na TASWIRA. Kama kweli wewe ni mpenzi wa muziki wa bongo ni wazi kua vibao hivi vilikukonga moyo ipasavyo na hadi leo unawakumbuka hawa jamaa vilivyo.
Siwezi sema yakwamba hawa jamaa hawawezi kurudi katika umahiri wao kama mwamzo ila jitihada na juhudi zao ndizo zitawaleta tena kwatika game ya muziki na kuwika tena mbele ya wadogo zao katika muziki huu wa bongo fleva.
Ni malizie kwa kusema, "Yatupasa kuwakumbuka vijana kama hawa ambao mchano wao katika jamii ni mkubwa mno, tuwape shime pale wanapo anguka ili waweze rudi katika hai zao za kawaida masha kusonga mbele"
 
Ningependa warudi hawa jamaa kama uwezekano huo upo!!
Nalikumbuka sana songi lao la NIZIKWE HAI.
 
walishazungumziwa sn humu,hasa kuhusu kupotea kwao!search tu thread utazikuta.
 
Ukuwasikia ijumaa iliyopita kwenye PLANET BONGO ya East Africa Radio??
 
Hawa jamaa hata mimi huwa sichoki kuwasikiliza,nilipenda sana nyimbo zao kipindi kile,mwenye kuweza atuwekee nyimbo zao humu,

Pia wako wapi wale wakali wa kucheza "Disco" enzi zile? Akina Athumani Digadiga,Black Moses na wengineo?

Yuko wapi Saleh Jabir wa Bongo fleva enzi zilee Bongo fleva ndio inaaza?
 
Ukuwasikia ijumaa iliyopita kwenye PLANET BONGO ya East Africa Radio??
sikuskiliza kaka ila, sisi kama mashabiki hatuhitaji ahadi si tunahitaji burudani adimu tulizozikosa kwa muda mrefu. Leo hii ukipita mahali ukaskia ngoma ya DINGI ni lazima ukumbuke mbali. Imekua kawaida ya wasanii waliowahi kukimbiza mwanzoni kisha wakapotea, wakihojiwa husema "tuna project mpya zinakuja so mashabiki kaeni mkao wa kula" mwisho wa siku hakuna lolote.
 
Back
Top Bottom