Samatta anahitaji muongozo. Ona alichoandika

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
956
yeye kutumia hilo neno la nigga kwenye page ya instagram sijui anaona sawa,wakati ndo keshaingia kwa watu ambao asihangae siku moja wakalitumia akiwa uwanjani,meneja wake amuambie a edit,aandike to friend au pal.

upload_2016-1-29_21-43-43.png
 
Kuna Mzungu aliniita nigggga yaan niliona tusi, nilimpa akaniomba msamaha
 
Dah! Mleta mada ndio unahitaji muongozo. Jamaa hakuna alichokosea kwa namna yoyote hapo.
unahitaji mwongozo we jamaa,unajua jamaa samatta sasa hivi profile yake ni kubwa na kwenye official page yake anatumia neno ma NIGGA kumu adress friend wake T Ulimwengu? basi kuna siku atasema kwenye interview kwamba i thank my NIGGA mose katumbi .labda maskini hajui hata hilo neno sio zuri kulitumia kwenye official page,ajichunge yeye sio wehu kama wale american rappers.
kipindi cha beef ya Evra na Suarez watu walipata clip ya Evra akiwa monaco yuko hotelini kavua shati anapiga makelele ya kujisifu ,kataja NIGGA zaidi ya mara 10,ilikuwa aibu sana
 
"It's not about the words, but the context they're used in". Ukielewa maana ya huo msemo, utaona kwanini nasema hajakosea chochote.
 
Kwa sis ambao tumeishi ulaya neno nigga ni shida.... Inaleta maana ya ubaguzi wa rangi
... Kwa bongo that's fine
 
wote mnaotetea hapa mnamiss point kubwa sana,unadhani sielewi maana ya hilo neno?actually lilitumika kibaguzi lakini negro in spannish means black sasa tatizo ni kwamba hilo N word hata FIFA wanahangaika kulipiga vita,ku kick racism out na yeye tena akiwa na followers wengi wabelgiji keshalitumia kwenye ista,naku assure ataambiwa na mtu mwenye akili a edit au afute post by kesho
kwa akili zenu hata siku akiweka picha ya demu wake akaandika my pretty BITCH mtashangilia ....mnasikiliza sana hiphop songs...kha
 
neno niga lilisnza kutumika marekan mwaka 1940 likiwa na maana mtu mweus anaenysnyaswa na wazungu ilikua kipind cha ubaguz wa rang si busara kwa mtu kama yeye kutumia neno hilo awachie vichwa panzi kama kanye na wayne
 
wote mnaotetea hapa mnamiss point kubwa sana,unadhani sielewi maana ya hilo neno?actually lilitumika kibaguzi lakini negro in spannish means black sasa tatizo ni kwamba hilo N word hata FIFA wanahangaika kulipiga vita,ku kick racism out na yeye tena akiwa na followers wengi wabelgiji keshalitumia kwenye ista,naku assure ataambiwa na mtu mwenye akili a edit au afute post by kesho
kwa akili zenu hata siku akiweka picha ya demu wake akaandika my pretty BITCH mtashangilia ....mnasikiliza sana hiphop songs...kha
You know what man, nakubalina na maelezo yako kwa asilimia kubwa sana lakini kama alivyosema Paulo Sergio De Souz, issue sio neno bali context! Hakuna neno baya la Kiswahili kama "mse'nge" lakini wenyewe kwa wenyewe kila wakati huwa tunaambiana "dah, we jamaa mse'nge; sikuwezi....!" yaani neno lile lile la kuchukiza na kukarahisha linageuka kuwa kivumishi depending na context na wanaombiana hivyo ni watu wa karibu! Hata huko US, black kwa black kuitana nigga isn't an offense tatizo linakuja pale White anapomuita black Nigga, especially kama sio washikaji! Humu JF ni kawaida sana mtu kuandika "Watanzania ni mazombie, mabwege, waoga n.k" lakini hatuwezi kuruhu mtu wa taifa lingine atumie maneno hayo hayo dhidi yetu-- tutamshukia! So, hata hao Wabelgiji nao wanafajamu kwamba Samatta kumuita Ulimwengu Nigga wala sio tiketi ya wao nao kumuita Samatta Nigga!
 
Imeandikwa kwa uchambuzi na weledi mkubwa. Kila mwenye masikio asikie na kila mwenye macho na asome na kila mwenye akili na aelewe.
 
Back
Top Bottom