Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,116
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara mgumba, yaani inasikitisha. Wema azae kwa mpango upi labda? Kaolewa useme anajaza choo cha watu bure?

Yule bibi ashazaa watoto wa 3, so ata kizaa 10 wengine haina tofauti ndo maisha aliozoea? Kuzaa zaa ovyo kama kuku. Sasa anataka kumponza huyu Wema ambae kwa umri wa yule bibi ni sawa na mwanae, angechelewa kidogo angemzaa, ili awe kama yeye mtu wa kuzaa ovyo ovyo mpaka na watu wa rika la mwanae. Uzaa mpaka na watoto ama kweli wewe kiboko ya uzazi. Khhaaaaaaaaaaa.

Sasa Wema huyu bibi all she wants is to drag you to her level and beat you with experience. Manake ashaa 4 tayari, ashazaa na mtoto mdogo kwake, ashazaa na 2 in 1, yaani kwa experience ya uzazi tu hana mpinzani. Sio kiboko yao tu, ni Mamba yetu kwenye kuzaa ovyo.

Ukizaa tu UMEKWISHAAAAAAAAAAA! You will no longer be THE WEMA SEPETU rather Wema THE SINGLE MOM! Hahahaaaaa! Kweli mi nakwambia. Sasa tukufatilie nini tena wakati ushaishiwa maarifa, umezalishwa home na kuachwa, umedodaaaa. Kitendo cha kuingia labor, Baaaaaaaaaaaaaaaaassss, sehemu ishapitisha kichwa cha mtoto, nani atakuwa na mda wa kuifatilia?

Sahivi wanavokuandama mgumbaa mgumbaa, wale wale wataanza kazalia nyumbaniiii, kazalishwa hovyooo, sijui nini, unafikiri basi watanyamazaaa, usiwe bwegeee.

We just imagine Irene asingekuwa na mtoto, sahivi angekuwa mbali sanaaaa, Huyo shoga ako alozaa juzi NANI ANA MDA SAHIVI? Hamna hata mwenye mdaaaaaa.

Ligi ya wazazi ni ngumu sanaaaa, muachie Mange Kimambi ndo ameweza ku stay RELEVANT after 3 kids, na sio kwa style yako, ya mashauzi yanataka pesa, sahivi Mange amekuwa politician, sijui activist ndo maana amebaki relevant. Ila wengi sanaaa, uzazi unawapotezaa.

Uzazi usikie tu njiani. Mwenzi Bibi kizee anakutia ndimu uzae ili apate amani na Kaka D. Manake as long as hujazaa anapata shaka leo kesho ukizaa na D ukawa mke mwenzie atajimuder. Sasa kumkomoa huzai wala nini. Mfano mwingine Dada yake D alivotapeliwa na Meneja wetu! Hahahahaaaaaa! Jmani huku kuzaa uwe na roho ngumu.

USIZAE, MPAKA UOLEWE, UWE NA FAMILIA YA KUELEWEKA.
 
Huyo wema anataman sana mtoto, unadhan akipata now ataacha kuzaa! Acha zari azae tu kama anapendaa, mbona zari kazaa na bado ana umbo zuri kuliko hata wasiozaa?
Hahhahah trust me, wema anaitafuta mimba kwa udi na uvumba so maoni yenu ya single mother kwake anaona hayana maana
 
Sina upande wowote kati ya hawa manguli ila hilo la kuzaa watoto wanne sijui inakuwaje ni tatizo
Kapewa mayai acha ayatumie

SI TATIZOOOO, NDO MAANA NIMESIFIA NI MAMBA YETUUU WANAWAKE KWENYE KUZAAA. Aongeze hata 10, nchi huru hiii lakini sio kumsakama binti mdogo, hajaolewa yupo kwao azae. NDO MAADILI GANI HAYO SASA? NDO DINI ZINAVOTAKA HIVO MTU AZAE HOVYO HOVYO?
 
a
Huyo wema anataman sana mtoto, unadhan akipata now ataacha kuzaa! Acha zari azae tu kama anapendaa, mbona zari kazaa na bado ana umbo zuri kuliko hata wasiozaa?
Hahhahah trust me, wema anaitafuta mimba kwa udi na uvumba so maoni yenu ya single mother kwake anaona hayana maana

Afu nyie ndo wale wale TEAM KUZAA HOVYO. Atamani mtoto wa nini? MUWAHURUMIA HAO WATOTO MNAOZAA BILA MPANGO WANAKUJA KULELEWA NA BABA WAKAMBO. Dadake kaka D ashazaa 2 kila mtu babake na kila mtu mtu hamtaki? IS THIS THE LIFE YOU WANT FOR MY WEMA? Aaaahh aya maisha mnayaweza wenyewe wa uswahilini. Mnaona sifa kumbe ujinga na kuharibia watoto future.

ZARA AZAE TU HATA MIMI NAUNGA MKONO, ASHAOLEWA ASHAACHIKA, ASHACHEZA MUVI LA X NA KIDUBWAANAAA, ASHAZAA 4, SO HATA AKIZAA 10 ZAIDI HAITONISTUA KABISAAAAAAA. NAUNGA MKONO HOJA ZARIII AZAEGE TU, MPAKA MAYAI YAISHE.
 
eti kuzaa hovyo wewe kwenu mko watoto tisa sio kuzaa hovyo?mimi naoma kabla ya kumshauri bibi mwenzako ungewashauri wazazi wako.

swissme

Hahahahaaa! Wazai wangu WALIZAA KWENYE NDOA SIO HOVYO HOVYO KAMA NYIE, KILA MTU BABA YAKE, NA BABA WENYEWE HAWAWATAKI WATOTO.
 
Kizazi cha Zari kipo karibu Domo akichovya tu mimba tena atafikisha dozen

Zifike 10, kwa umri ule na aliyokwisha yafanya WAZAE TU WATUKOMOE SISI. Ukishapitisha watoto 4 na 10 huko chini hakunaga tofauti
 
Back
Top Bottom