brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Diamond platnumz ameonyesha ofisi yake ili kuwapa nguvu vijana wanaotafuta wasikate tamaa muhimu ni kujituma.
Diamond ameonyesha picha alipotembelewa na mama yake ameandika'' guess who visited in my office today.....mama platnumz.
Diamond amempatia office mpya mpiga picha wake maaarafu kifesi. baada kuonyesha ofisi hiyo meneja wake sallam sharafalikuwa na haya ya kusema.
Ametoka kwenye maisha ya kulazimisha mlo mmoja uwe mara tatu, amefungua ofisi iliyoajiri vijana 30 asilimia 95 ya Vijana wanategemewa na familia zao, amefungua studio ya kuwapa vijana wenye vipaji vya kuimba wafanyiwe mziki bure.
Kuna mijitu ambayo inaona ushabiki ndio manufaa na kusema anapenda kujishebedua, kuweni na wivu wa maendeleo na nyie mfanye kama yeye ametoka FROM ZERO TO HERO, Nani asiyekuwa na furaha kumfurahisha mzazi wake Leo, Kijana aliyetoka kulala chumba kimoja watu 6, na ameweza kujiajiri mwenyewe na kuwapa ajira Vijana wenzie ili wasaidie familia zao.
"THEY DON'T WANT HIM TO HAVE A BETTER OFFICE TO HELP PEOPLE" in *Dj Khalid's Office