Wimbo wa 'Mama Kijacho', Tundaman ametisha

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,829
15,791
Jamaa nilidhani kashapotea mazima maana kwa mda mrefu hajasikika, ila kwa huu wimbo mpya alioutoa unaitwa 'Mama Kijacho' naamini utamrudisha, audio nzuri, video iko simple inaendana na maudhui, good job!
 
Safi kumpigia promo, lakini mwambie aimbe aache kulialia
 
Mama kijacho kapata sababu Tu ya kumburuza mjomba, we mimba gani inachagua gari.
 
Back
Top Bottom