jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,715
Ukitembelea page za Mastaa mbalimbali kwenye social media,,, kwa bongo na nje / intenational celebrities... Wengi huwa hawa reply comments za mashabiki....
Swali mi najiulizaga ni kwamba huwa hawaoni au ndo Dharau??
Ushawahi jiuliza na wewe??
au ndio hivyo inatakiwa uwe ukiwa staa?
Swali mi najiulizaga ni kwamba huwa hawaoni au ndo Dharau??
Ushawahi jiuliza na wewe??
au ndio hivyo inatakiwa uwe ukiwa staa?