Diamond anyakua tuzo nyingine nchini Kenya

Huyu jamaa anaweza na anajituma hivyo anastahili kuipata hiyo tuzo na nyingine nyingi zitakazojitokeza.Naona kama wasanii wengi wa bongofleva wameshakata tamaa ya kushindana na huyu bwana.Hongera Diamond.
 
Kiba alikuwa kwenye vipengele 4 kakosa vyote na diamond alikuwa kwenye vipengele 2 kapata 1
 
vipengele 4 vya kiba, ilikuwa tanzania artist of the year, east africa artist of the year, east africa song of the year na live act east africa, diamond vipengele 2 , tanzania artist of the year na east africa artist of the year
 
Hongera sana Chibu aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari, Sindimba bado tunaicheza tangu jana.
 
vipengele 4 vya kiba, ilikuwa tanzania artist of the year, east africa artist of the year, east africa song of the year na live act east africa, diamond vipengele 2 , tanzania artist of the year na east africa artist of the year
I LIKE THIS.
 
kahonga kama kawaida yake

We ni mmoja wa waliowahi kusema 2015 ndio mwisho wake na hatokuja kupata tuzo yeyote baada ya kujihusisha na CCM, ila mpaka leo zimebebwa zaidi ya 15 zikiwemo MTVEMA 2....

Fanya uende kwa mganga wako muhoji vizuri, may be ulikosea masharti.. Ukijielewa zaidi kapakwe mafuta ya uzima..

Kwa mwaka huu sijui ya ngapi hii duuuuh, huyu MTU hatari sana...
 
Hahaha na leo usiku tuzo za hipipo za uganda zinatolewa mond vs kiba tena
 
We ni mmoja wa waliowahi kusema 2015 ndio mwisho wake na hatokuja kupata tuzo yeyote baada ya kujihusisha na CCM, ila mpaka leo zimebebwa zaidi ya 15 zikiwemo MTVEMA 2....

Fanya uende kwa mganga wako muhoji vizuri, may be ulikosea masharti.. Ukijielewa zaidi kapakwe mafuta ya uzima..

Kwa mwaka huu sijui ya ngapi hii duuuuh, huyu MTU hatari sana...
Huyo ni mtu wa kumpuuza tu... Huwa inatokea tu kuwa namsoma kwavile posts zake huwa hazizidi maneno 8!!!!
 
Msimu ushawadia! Ninachosubiria ni kuona bonge la jingoma likiachiwa wiki moja kabla ya nomination za tuzo za ama MTV au BET-- yoyote itakayoanza!! Sijui ni lile lijingoma alilo-feature na P-Square!!
 
Back
Top Bottom