David Bowie is dead

Black Sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
32,247
54,870
Mwimbaji maarufu David Bowie amefariki leo baada ya kusumbuliwa na cancer kwa miezi 18..
Atakumbukwa kwa mengi. Alikuwa mume wa Iman kwa wanaomjua..
 
1452633854893.jpg
1452634234402.jpg
Sindikizeni na vipicha basi jamani....
Zamani akiwa na mke wake Iman
 
Iman ashakaa sana bongo baba yake alivyokuwa anafanya kazi ubalozi wa Somalia bongo.

R.I.P David Bowie.
Natamani ueleze zaidi
maana zipo story za kila aina kumhusu Imaan
wengine wakisema amewahi jiuza kinondoni
wengine ni msomali wa Tanzania...Kenya alienda tu kwa ndugu zake
mradi hakuna story clear
 
Natamani ueleze zaidi
maana zipo story za kila aina kumhusu Imaan
wengine wakisema amewahi jiuza kinondoni
wengine ni msomali wa Tanzania...Kenya alienda tu kwa ndugu zake
mradi hakuna story clear

NI MKIMBIZI ALIYE KUJA BONGO NA KUISHI ILALA FLATS.. NA KAMA SIKOSEI ALIKUWA VIDEO QUEEN KWENYE NYIMBO MOJA YA MJ.. DANCING IN THE CLOSET..
 
Natamani ueleze zaidi
maana zipo story za kila aina kumhusu Imaan
wengine wakisema amewahi jiuza kinondoni
wengine ni msomali wa Tanzania...Kenya alienda tu kwa ndugu zake
mradi hakuna story clear

Za kujiuza sizijui, ila nilikuwa namuona mitaa ya Upanga sana, nafikiri ndipo yalipokuwa makazi yao.

Iman alikuwa matawi ya juu tangu alipokuwa bongo, I find it hard to believe habari za kujiuza.
 
Bowie aacha $100m mirathi. Aliyekuwa mke wake (Iman) atapokea nusu pamoja na nyumba waliokuwa wanamiliki New York na watoto wake wawili watagawana nusu.
Personal assistant wake atapata $2m na nanny atapewa $1m.
The Will was written in 2004
 
Haya mambo ya kuandika "will" ni kujitabiria kifo tu. Ona sasa yaliyomkuta.
 
Back
Top Bottom