Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,167
Nimekuwa nikiona wasanii wengi wa filamu, mitindo na muziki wakijitokeza kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii kama vile kusaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu, kuhamasisha siasa, kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya nk.
Jambo ambalo sikuwahi kulisikia ni wao kujitokeza mstari wa mbele kwenye upimaji wa afya na kujitolea damu kwa ajili ya wale watakaohitaji wakiwa hospitalini.
Je, ni kwanini? Au kuna rekodi zozote zinazoonesha ushiriki wao huo kwenye jamii?