Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Awali nilitaka hoja hii kuiweka katika jukwaa la Great Thinker nikaona sina fursa hiyo..hope mods wanaweza kuweka huko.Tujadili kama watu wasio na mihemuko
--------------------------
Kwa maoni yangu wote Gadner na Jaydee wamefanya makosa yanayolingana,yahani wote ni manyanganyanga..wote wametukanana tena hadharani bilka kutajana yahani wametumia maudhui..
Aliyeanza ni Jaydee,walipoachana,wote walihojiwa na gazeti la Mwananchi (SOMA HAPA) katika mahojiano hayo ..Jaydee alipoulizwa kwa nini AMEACHANA na Mumewe alidai kuwa kwanza yeye hajaachana na Gadner bali yeye Jaydee AMEMUACHA Gadner..Akaenda mbali zaidi na kudai kuwa ni Mlevi na kwamba alikuwa akichukua magari yake na kuhonga mademu zake...alipohojiwa Gadner alisema hana la kusema na kuongeza kuwa anaheshimu uamuzi wake na anayosema.
Haikupita mimezi miwili Jaydee akatunga wimbo na kuita kibwagizo la Ndi Ndi na kuweka vipande vya video vikumuonesha mwanaume anayeondoka ndani kwa kubeba CD,huku mashoga zake wakimtupia nyingine...(1)Hakuna popote ambapo wimbo unamtaja GADNER bali kutokana na mtiririko wa matukio mashabiki wengi wanadai aliyeimbwa ni GADNER..Wimbo huu utadumu milele..kama aliyeimbwa ni GADNER Fikiria alipata,amepata,atapata maumivu kiasi gani na kwa muda gani?
Haukipita Muda Gadner naye akiwa katika shughuli ambayo haifahamiki amesikika akitamka maneno kuwa ."Siwezi kujibizana na yule mtoto wa kike maana nimekonyoza miaka 15 hivi" baadaye DJ akapiga kibwagizo cha wimbo wa Ndindi ndi...(2)Hakuna popote ambapo kauli ya Gadner inamtaja Jaydee bali kutokana na mtiririko wa matukio mashabiki wengi wanadai aliyetajwa niJAYDEE..Kauli itadumu milele..kama aliyesemwa ni JAYDEE video hiyo itadumu Milele,Fikiria JAYDEE alipata,amepata,atapata maumivu kiasi gani na kwa muda gani?
Ebu chukua kosa namba 1 na kosa na 2..NANI kakosa kuliko mwenzake? nani anapima kosa la la mhusika?..Nani anajua maumivu ya kila upande?
Hivyo kwa maoni yangu namalizia kwa kusema kuwa Wote walikosea sana misingi ya ndoa,kabla na baada ya kuachana,wahukumiwe sawa..wapewe ushauri wa FORGIVE AND FORGET !..
Muwe na Siku Njema
Rutunga M
Jamiiforums
Makambako,Iringa
Mei 11,2016