Kumbe Madee 'alimkwichikwichi' Shilole!

Kumbe Madee 'alimkwichikwichi' Shilole!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe

Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na Shilole kipindi wapo wote na Aliwafumania na kumkuta mmoja wao akiwa hana nguo,Diva anakiri kusikia hizo habari ila alitaka Nuh athibitishe Nuh anasema inauma sana ila ana muheshimu sana Madee ana Muheshimu pia Shilole japo Inauma sasa wali kwichi kwichi na kuwafumania

Oyo nitakupigia nitakupia baadae noma noma noma sanaaaaa

Hapa Miguu pande hapa Say my name Shishi hapa Jike shupa oyooooo
 
Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
 
Ww ni soud? Hatushindwi
 
Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya

Wewe jamaa sasa ni majanga, Halima atakutumbua sasa hivi. Wenzio wanasema MADEE wewe unaleta story ya kwako ukimhusisha Mdee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom