Frankestain
Member
- Feb 21, 2016
- 34
- 37
.
Keep it up. Kuna siku huenda ndomondi akakukumbuka kwenye moja ya music tour yake mkaenda wote.Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ni msanii wa aina yake kwa namna ameanza muziki mpka alipofika hapa leo,pia amekua inspiration kwa vijana wengi katika sanaa anayofanya na ata nje ya sanaa.
Kuna wakati ni vizuri kwa msanii kuchagua jina zuri la kuvutia la sanaa ambalo pia litafit vyema na watu kulikumbuka kirahisi mfano D. I. A. M. O. N. D. Ili jina analitendea haki na kila herufi ina maana yake.
1.D.DOMINANT-Yes hili halina ubishi toka atoke na #kamwambie na #mbagala amezidi kutawala industry ya bongo flava mpka ivi leo #makemesing na collabo kadhaa alizofanya Africa zinamfanya kua big boss wa East Africa, n soon ataitawala Africa nzima, sema tumpe muda.
2.I.INDEFATIGABLE- Yes amedhihirisha yeye sio mtu wa kuchoka au kushndwa mapema, hakati tamaa nadhani mnakumbuka kipindi PSquare walikuja bongo na wakasema hawamjui wengi walimcheka at anajipendekeza nadhani ile ingemvunja moyo but ikawa kinyume ila leo wamefanya collabo n believe me itampeleka mbali zaidi.
3.A.AMBITIOUS- Amekua akitamani mambo makubwa anawaza mbali sana, nadhani baada ya kushoot video ya my no 1 kwa gharama vile alibezwa sana na wasanii na wananchi kiujumla at anajisikia, kukataa kufanya show kwa malipo chini ya 10 million tsh alipondwa sana at anakipi cha kulipwa icho kiasi, leo wanakurupuka kumekucha.
4.M.MELODIUS-Mpka leo wapuuzi wachache wanasema hana sauti at fulani ni zaidi,jiulize asingekua na sauti nzuri tungependa muziki wake, n ofcoz ktk melody nzuri za music diamond is way up.
5.O.OUTCLASS--Wanasema talent can beat hard working only if the talented is working hard. Diamond amewakuta wengi kwenye industry but leo hawako levo moja tena imebaki kwa wasanii wengne kuendlea kutamani mafanikio yake. Msanii anayetaka kua sawa au bora ya diamond lazima awe na kiu ya mafanikio, kufanya kazi usiku na mchana.
6.N. NEAT-Wasafi WCB kama jina la music label yake, msanii unatakiwa kua msafi muda wote na ktk hilo diamond is doing it big. Usafi muhimu kwa wasanii wetu, kua presentable.
7.D. DISCIPLINED- Amekua akijali sana hili ndo mana ata leo ukiangalia nadhamu ya Raymond na harmonize utaelewa nasema nn, ktk interviews za diamond uwezi kuta anamkandia msanii mwingine but imekua kinyume kwa wasanii wamekua watovu wa nadhamu wakiamini ni wakubwa ktk industry kufkia ata kuanzisha bifu za kipumbavu wapate kiki kwenye muziki kupitia jina lake. Diamond anaheshimu wakubwa na wadogo despite ukubwa wa jina lake, anaheshimu kila kazi anayotoa bila kusahau mashabiki wake.. Diamond amekua kioo cha wasanii wote wa tz ukubali ukatae ata useme ww legend najua unayatamani sana mafanikio ya diamond au unatamani uwe diamond na mashabiki zenye pia wanatamani mngekua kama diamond but its too late, sio rahisi kiasi iko.
Ataufanya niningoja huu uzi auone diva wa clouds.
HahahaHicho kichwa, leo wabunge wakati wa kuchangia hoja ya Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo waliwataja nyota na tunu za Taifa kuwa ni Diamond na Mbwana Samatta.
Yule hakutajwa kabisa.